Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Status
Not open for further replies.
Leo itabidi ufanye sherehe kabisaa umefurah mnoo bakisa na ya keso basii
 
Hata mimi naipenda sana hii couple sana tu. Watu waliongea sana na kuonyesha wapo negative sana na hii couple lakini duu wameachwa kwenye mataa meli yao ileee inapasua mawimbi. Haaa haaaa haaaa.
Hahaaaa umeona nsalu maana walianza ooh Menina habari ya mjini sa hivi wameufyata kimyaaaa sa hivi wamegeuka kusema presha zimeshuka hahahaaaaaa

Mapenzi ya watu yanaingiliwa basi wenyewe ndio wanajua. Mie naipenda hii couple mika mia nne
 
Last edited by a moderator:
We unae ni quote unanishangaza......

Tulishamalizana na wewe long time... UNIWACHE pita vileeeeeeee

Bora ulivyojielewa na kunitoa katika post yako.. nifurahi nisifurahi ni mimi
 
Mi nilidhanj kapewa gari jamaniii,wambea wanafiki tunasubiri ndoa ya uwanja wa taifaaa kwiiiiiiiiiii

ha ha hi ni tamthililia yao iko season two inaendelea wote wawili hawajawa serious na ndoa bado wanakula ujana na kutafta ku make headline wakishaoana watapoa kuandikwa kutapungua na vituko vya kupanga ili kuandikwa sasa wataishije mjini best
 
ha ha hi ni tamthililia yao iko season two inaendelea wote wawili hawajawa serious na ndoa bado wanakula ujana na kutafta ku make headline wakishaoana watapoa kuandikwa kutapungua na vituko vya kupanga ili kuandikwa sasa wataishije mjini best

Uwiiiiii wacha movie iendeleee madam wangu
 
Heaven on Earth nipo na Wine yangu na mm nasherehekea home kwangu. Haaa haaa haa. Kuna suprise gani hebu nitonye na mimi.

Nitakutonya my dear...kiroho swafiiii maana leo nafuatilia tukio kwa ukaribu

Enjoy your Wine
 
Leo nimeamini dawa ya watu wambea na wazushi,ni kuwakalia kimya na kuwapa masuprise yaliyo positive,yaani ukikaa kimya na kuwapa masuprise,wanabaki midomo wazi kama kipa aliyefungwa goli la penalt
 
yani waandishi wa habari wapo wengi kuliko wagwni walikwa.kesho shigongo kashapata habari
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…