BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Kajitahidi.....
Umeona suprise hiyooo.....
Nimeona....
Imetoka.kwa martin au chibu???
Maana insta wanadai martin
Mmmmh
I hope kadi ina jina la wema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajitahidi.....
Umeona suprise hiyooo.....
Hujakosea,ulivyodhani ndivyo
Hujakosea,ulivyodhani ndivyo
Hahaaaa umeona nsalu maana walianza ooh Menina habari ya mjini sa hivi wameufyata kimyaaaa sa hivi wamegeuka kusema presha zimeshuka hahahaaaaaa
Mapenzi ya watu yanaingiliwa basi wenyewe ndio wanajua. Mie naipenda hii couple mika mia nne
Nimeona....
Imetoka.kwa martin au chibu???
Maana insta wanadai martin
Mmmmh
I hope kadi ina jina la wema
Mmh Martin ana pesa gani ya kununua Benzi... let us wait and see maana it's full of surprises
Mi nilidhanj kapewa gari jamaniii,wambea wanafiki tunasubiri ndoa ya uwanja wa taifaaa kwiiiiiiiiiii
Kapewa zawadi gani wema ili wambea,wanafiki tufe kabisaa
ha ha hi ni tamthililia yao iko season two inaendelea wote wawili hawajawa serious na ndoa bado wanakula ujana na kutafta ku make headline wakishaoana watapoa kuandikwa kutapungua na vituko vya kupanga ili kuandikwa sasa wataishije mjini best
Hahaaaaaaaaaaaaa alivyodhani ndivyoo jaman leo nachekaje.....
Heaven on Earth nipo na Wine yangu na mm nasherehekea home kwangu. Haaa haaa haa. Kuna suprise gani hebu nitonye na mimi.
We unae ni quote unanishangaza......
Tulishamalizana na wewe long time... UNIWACHE pita vileeeeeeee
Mmh Martin ana pesa gani ya kununua Benzi... let us wait and see maana it's full of surprises
yani waandishi wa habari wapo wengi kuliko wagwni walikwa.kesho shigongo kashapata habari
yani waandishi wa habari wapo wengi kuliko wagwni walikwa.kesho shigongo kashapata habari
mdogo ake nini tena mamii