Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Status
Not open for further replies.
by the way Wema kafikisha miaka mingapi jaman icje kua 21 lols!
 
Ha ha ha ha. Munao kaa na kufatilia haya mapenz ya hawa watu hata nyinyi nawaita kwanza wambeya ya mitandaon pili wapuuz hamna kaz ya kufanya.

Mh kuna ukweli flani drama zao hata hazivutii kutafta kiki na wakiona watu wana fatilia ndo wana zidisha visa ili kupata publicity
 
Kiukweli Mi huwa sipendi kuingia hili jukwaa lkn leo nimeingia nimefurahi majibu ya huyo dada hapo juuu!
 
Majukwaa yako mengi si aende huko.... atuache tusio na kazi tuendelee na umbea wetu...

Unanifurahisha tu majibu yako:-$

embu nisaidie tu mbinguni juu ya dunia wangu, sijui katutokea wapi, huyu ndio mnafki asiyejielewa, kilichomleta kwenye huu uzi ni nini kama ye si mbea, shake well B4use kama hawa ni kuchawachamba tuuu
 
kuna tafiki yangu mmoja wa kike aliniambia haya maneno mwanzo mwa urafiki wetu "first of all you should know your partner"sasa naelewa maana yake kupitia hii couple.
 
Wapenzi wakigombana mnabeba jembe mkalime wakipatana mnabeba kapu kwenda kuvuna..

Maana watu walikaa kusubiria leo itakuwaje..

am enjoying wanavyocheza na akili za watu.juzi juzi teamwema walikuwa wanalilia hadi wakatamka kutompigia kura daimond.ila leo sasa huyo huyo wanamwagia sifa
 
Hahaaaa umenikumbusha mwaka jana jamani maua kitandani na shuka la kushona.. ..nyie jamani full drama
Aisee kweli unakumbuka birthday ya Wema mwaka jana,Diamond na Wema zile picha za China,Penny akaambiwa ni movie.Kile kitanda cha Diamond love P.Mapenzi Bwana.Usiusemee moyo
 
Nikiripoti kutoka insta....
 

Attachments

  • 1411913129565.jpg
    1411913129565.jpg
    41.8 KB · Views: 619
  • 1411913145744.jpg
    1411913145744.jpg
    68.6 KB · Views: 591
  • 1411913171657.jpg
    1411913171657.jpg
    57.4 KB · Views: 585
  • 1411913184200.jpg
    1411913184200.jpg
    58.1 KB · Views: 574
  • 1411913197046.jpg
    1411913197046.jpg
    60.4 KB · Views: 541
  • 1411913212940.jpg
    1411913212940.jpg
    65.4 KB · Views: 530
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom