Haya ndio maadili ya Mtanzania?

Huna lolote unataka teuzi ukashindane kukata mauno juu ya meza za Bunge.
MaCCM wote hamna maadili mmepora Chama cha Nyerere na kugeuza Pango la wanyang’anyi. Blah blah tupu.
 
Porojo sizizo na msingi wowote

Mkurugenzi wa GGM anapelekwa Airport na taxi? Kwamba alitoka Geita kwenda Mwanza kwa bus?
 
Hapo umechemka eti Magufuri ni mfano wa kuigwa kwenye maadili ya Mtanzania, umechemka sana mfano ubaguzi, dharau, rushwa, utapeli, upendeleo, wizi na uuaji hizo ni sifa za hayati Magufuri.
Mataga mleta post atakuwa anatafuta teuzi,ndiyo maana ameweka namba ya simu.
Alichosahau ni kuwa,mama anafungua uchumi Jiwe alifunga uchumi.
 
Hiyo dhambi ya Lissu alitubu? Mtu Ali paralyse unadhani aliwezaje kufanya toba? Tuachage unafiki kwamba sijui tusihukumu!! Lazima ukweli usemwe kwamba tujiandae muda wote maana hatujui lini tunaondoka Duniani.
Wewe mwenyewe una dhambi zako mzigo unaanza kuhukumu watu au sababu hujulikani humu ndani.

Wewe usihukumu hauna kipimo cha dhambi, na kutubu unajuaje kama yeye ndio aliebeba bunduki au alitoa order ya kumpiga risasi lisu.

Au Slaa inabidi apuuzwe na yale yale maneno yake?. Kwenye kuhukumu anza mwenyewe na dhambi zako au wewe upo safi kabisa?
 
Hapo umechemka eti Magufuri ni mfano wa kuigwa kwenye maadili ya Mtanzania, umechemka sana mfano ubaguzi, dharau, rushwa, utapeli, upendeleo, wizi na uuaji hizo ni sifa za hayati Magufuri.
Watu wengi hufuata uelekeo wa wengine kama nyumbu, hasa kwa mambo ya siasa.
Nyakati hizi kiongozi akiwa na chawa wengi, propaganda nyingi, unyumbu unaongezeka ambao ni hatari kwa mustakabali mwema wa taifa.
 
Ndio Nina dhambi ndio maana Kila siku kabla ya kulala naungama dhambi zangu zote haijalishi kama sijafanya baya lolote!!

Sasa huyo Shetani wenu mlikua mnamsifia humu sijui ni mcha Mungu, mara Rais pekee aliyesimama na Mungu wakati wa Covid 19. Ndio maana tunawahoji mtumishi wa Mungu anaweza order mtu auwawe? Sawa hakuwatuma yeye ila ndio amtimue ubunge? Amnyime stahiki zake ilihali anajua anatibiwa ICU?

Mkuu dhambi hazifanani ila I'm sure hata kama wewe ungekua malaika kwa unyama ule ungemruhusu huyu mtu mbinguni?? Tusiongee tu sababu tuna mahaba ya JPM wakati mwingine vaeni viatu vya Lissu ndio utaona kwa dimension tofauti.

NB: Dr.Slaa apuuzwe sababu kama Mbowe kahusika kwanini Sirro asilete huo ushahidi? Kwanini CCTV zing'olewe? Kwanni walinzi waliondolewa getini? Kwanini Hela za matibabu alinyimwa? Kwanini ubunge avuliwe wakati yupo ICU!! jamani haya yote Mbowe afanye? Tumuogopeni Mungu. Hata Ndugai anayoyapata Leo ni matokeo ya ujinga kama ule, Leo wamemgeuka ndio amegundua Demokrasia ni muhimu nchini when it's too late!!!
 
Mkuu kama unasema Slaa apuuzwe, kwanini na serikali isiwapuuze nyie mnaosema kwamba serikali yenyewe ilihusika kwenye tukio lile?

Halafu umesema "kama mbowe kahusika kwanini sirro asilete ushahidi" Sasa kama serikali ilihusika kwanini nyie msipeleke ushahidi haki itendeke kwa lissu na suala lake?

Lakini mkuu dhambi ni dhambi tu yawezekana kama unavyotubu wewe usiku kabla ya kulala ndivyo alivyotubu JPM kabla hajafaliki kama alitenda kosa hilo.
 
1. Usilinganishe issue ya Lissu na Slaa!! CHADEMA haina DPP haina TISS haina DCI haina CID Wala MI ya kuchunguza aliyetaka kumuua Lissu so kusema eti wao wapeleke ushahidi kama serikali imehusika haiwezekani ila serikali ndio Ina vyombo kibao vinavyoweza thibitisha nani alihusika.

2. Serikali ndio unaweka polisi kwa Lissu, serikali ndio iliweka CCTV, serikali ndio ilimtimua Lissu bungeni, serikali ilizuia mafao ya Lissu sasa kama Mbowe kahusika nieleze ana mamlaka gani ya kuzuia stahiki za Lissu? Ana mamlaka gani kutoa CCTV ama kufukuza walinzi getini??

3. Yaani nikaue mtu alafu nikienda kulala nitubu ndio kesi imeisha hapo?? Kutubu maana yake unakiri na unarekebisha yaani angewafungulia kesi walioenda kumuua Lissu. Ila kama aliomba Toba huku Bado akazuia mafao ya Lissu na akamtimua bungeni unadhani huo msamaha umesikilizwa??

By the way JPM alipooza kabla hajafariki so sio kama alikua ana akili zote timamu mpaka anakufa sasa alitubu vipi???

Tuacheni unafiki kwenye NYEUPE tuite NYEUPE
 
Mkuu kwani serikali na bunge si ni mihimili tofauti sasa unasemaje serikali ilimfukuza lissu bungeni wakati muda huo Job ndio alikua in charge.
Mi naona hilo suala la lissu lingepata upelelezi huru tujue naona kuna namna mchezo ulichezwa wanaitaga the game of changes upelelezi ungeanza ndani ya chama chenu chadema hadi ndani ya hao ccm na serikali.
 
Ni vyema tutumie wapelelezi kutoka nje ya nchi ili kuepuka kutoaminiana.
zitto junior
 
Hakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Acha kujifariji wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…