Haya ndio maadili ya Mtanzania?

Haya ndio maadili ya Mtanzania?

1989 ulikuwa vidudu!?, duh kumbe kuna watoto wadogo sana humu ndani. Lakini uzi wako mzuri sana unafikirisha na ni rahisi kwa tatizo husika kupatiwa majibu kwani umejitahidi sana kuliweka wazi tatizo linaloitesa jamii ya sasa.
 
Back
Top Bottom