Mczigga JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 722 Reaction score 1,272 May 26, 2022 #41 WALOLA VUNZYA said: Acha kujifariji wewe Click to expand... Kama umeamua ku-reply jibu hoja acha maneno.
WALOLA VUNZYA said: Acha kujifariji wewe Click to expand... Kama umeamua ku-reply jibu hoja acha maneno.
P Phillipo Bukililo JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 18,487 Reaction score 13,611 May 26, 2022 #42 1989 ulikuwa vidudu!?, duh kumbe kuna watoto wadogo sana humu ndani. Lakini uzi wako mzuri sana unafikirisha na ni rahisi kwa tatizo husika kupatiwa majibu kwani umejitahidi sana kuliweka wazi tatizo linaloitesa jamii ya sasa.
1989 ulikuwa vidudu!?, duh kumbe kuna watoto wadogo sana humu ndani. Lakini uzi wako mzuri sana unafikirisha na ni rahisi kwa tatizo husika kupatiwa majibu kwani umejitahidi sana kuliweka wazi tatizo linaloitesa jamii ya sasa.