DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
- #21
Kwa dunia ya sasa hivi mkuu Curriculum hii ya mfumo kama wa Kenya imepitwa na wakati ndo maana hata kenya nao wameanza kupractise CBC n wao wameanza Mwezi w pili mwkaa huu japo sisi tutaanza miaka ijayo..Hakuna kitu hapo sisiemu nini [emoji117][emoji90][emoji90]tu elimu ya msingi ilitakiwa kuongezwa darasa moja iwe mpaka darasa la 8 ambayo ingekuwa sawa na form 2 ya sasa secondary miaka 4 kisha chuo hiyo secondar zote ziunganishwe .
Primary ibebe hadi kidato cha pili
Secondary ibebe hadi kidato3 cha 6
Hivyo pawe na daraja 3
CBC (Competent Based Curriculum) inamfanya Mtu akimaliza Form four anakuwa na ujuzi wa kitu fulani na sio curriculum iliyopo sasa hivi form four hana ujuzi wowote