Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni viongozi wapumbavu awawezi kuona jambo kubwa na la wazi kama hilo ....nikosa kubwa sana kuweka mambo ya dini kwenye shule za serikali...hata viongozi wa dini walitakiwa kukataa jambo kama hilo...tatizo hata viongozi wetu wa dini ni vipofu ...mzaha mzaha hijabu zikaingia kwenye shule za serikali ...mzaha mzaha hikabu nazo zitakuja kuingia shuleni na vyuoni ...haya mambo yadini na serikali mara zote viongozi wakuu wa hii nchi wakiwa waislamu ndiyo wanayaletaga kwenye serikali ...majuzi nilisikia waislamu vipofu wanasema kuwa hsta JKT mavazi ya dini yazingatiwe. TANZANIA TUNATAKIWA KUWA NA RAIS ATAKAYE ONDOA HAYO MAMBO NA KUYAPIGA MARUFUKU MASHULENI ....TATIZO LA HAYO MAMBO YA ITIKADI ZA KIDINI KUPENYA MASHULENI LINAPITIA UPENYO WA SOMO LA MAHADILI HILI SOMO LINATAKIWA KUWA SOMO.LA UHADILIFU SIYO MAADILI ...KWAKUWA KILA JAMII NA DINI ZINA MAADILI TOFAUTI TOFAUTI ILA SWALA LA UHADILIFU SIKUZOTE LINAFANANA KWA JAMII ZOTE.Kwenye Dini wamekosea sana, Serikali hii haina dini. Na kwa idadi ya madhehebu tuliyonayo sijui nani atatengeneza mtaala wa kufundishia dini.
DINI wangeiacha kabisa kwenye elimu zetu italeta mkanganyiko tu. Maana hii ni kama sisa kila mwenye dini yake anataka kuongeza vichwa na wananchi ni sisi hawa hawa.
Yetu macho tutasubiria maboresho.
Kama mishahara haijaongezeka dharau ziko palepale.Hapa heshima ya walimu kidgo itarudi
Lakini mkuu, ni vigumu kubadilisha teaching curriculum ya higher learning institution! Vyuo vikuu (duniani) vinatumia mifumo inayofanana ili iwe rahisi kwa wanafunzi kutoka chuo kimoja na kwenda kusoma chuo kingine chochote hapa duniani!Mkuu mitaala itabadilika yote kuanzia msingi mpka Elimu ya juu...
Na kuhusu Kusoma degree miaka Miwili nafikiri kuna masomo watayaweka Form six ambayo yataweza kumuandaa Mtu aweze kuwa na uwezo wa kuemdelea na Bachelor nafikir ndo maana wametaka lazma awe form six
Kuna computer Science mkuuSijaona inclusion ya AI
Duh bado tutakuwa nyuma sana.
Ningependa nione in deep hiyo computer science wanayosoma ina mawanda gani , sababu computer science tu kwa kuitaja it is more that what we think.Kuna computer Science mkuu
Elimu ya Ufugaji nyuki ndio nini? Huo ni upuuzi.Bora ingekuwa Elimu ya mazingira,Landscape na Gardening.HAYA NDO MABORESHO YA MTAALA WA ELIMU YANAYOENDA KUFANYIKA TANZANIA KATIKA JITIHADA ZA KUBORESHA ELIMUHabari za mchana WanaJF
Katika kuboresha elimu, Hivi karibuni serikali ilitangaza mabadiliko ya Kisera Na marekebisho ya Mitaala na baadhi ya Sheria ili Elimu iweze kuenda sawa na Sayansi na Technoljia ya Dunia..
Haya hapa chini ni baadhi ya Maboresho yanayoenda kufanyika Katika Elimu ya Msingi, Elimu ya Secondary, Elimu ya Juu ya Sekondary na Ualimu.
SHULE YA MSINGI
Haya ni masomo kwa mujibu wa Rasimu Ya Elimuu..
Ningependa nione in deep hiyo computer science wanayosoma ina mawanda gani , sababu computer science tu kwa kuitaja it is more that what we think.
Mitaala ningependa ipunguze miaka ya kukaa darasani iwe 12 tu na pia inclusion ya STEM ipewe kipaumbele otherwise itakua hakuna walichobadili.
Mkuu jaribu kupitia curriculum yote vyote vimeelezwaElimu ya Ufugaji nyuki ndio nini? Huo ni upuuzi.Bora ingekuwa Elimu ya mazingira,Landscape na Gardening.
Pili Elimu ya Kilimo na Ufugaji inatakiwa ivunjwe vunjwe Ili humo ndani mtoto achague fani za ;
Ufugaji nyuki
Ufugaji wa Kisasa wa mifugo
Kilimo biashara
Najiuliza kwani mtoto akichagua Kilimo atajifunza nini kipya hasa ambacho hakifanyiki kwao Hadi aweze kujiajiri Kwa kutumia gani ya Kilimo na mifugo?
Pili Vyuo vya Veta vitafutwa au vitatumika kama kufanya nini ikiwa mtoto ameshajifunza masoko kama useremala?
Mwisho mbona fani za Ufundi nyingi sana zimeachwa kwa level ya Mafunzo ya Elimu ya msingi?
Kiufupi sijaona kama itakuwa na Tija sana Kwa mhitimu wa Elimu ya msingi kama hakuendelea na Elimu zaidi.
Sijui wamefikiria nini hawaDuuh yaani ukae na mtoto nyumbani hadi atimize miaka 5 ndo aanze shule ya awali??
Asante mkuu,ila nina kaswali kadoogo km itawezekana naomba jibu.HAYA NDO MABORESHO YA MTAALA WA ELIMU YANAYOENDA KUFANYIKA TANZANIA KATIKA JITIHADA ZA KUBORESHA ELIMUHabari za mchana WanaJF
Katika kuboresha elimu, Hivi karibuni serikali ilitangaza mabadiliko ya Kisera Na marekebisho ya Mitaala na baadhi ya
Asante...
Haya ni masomo kwa mujibu wa Rasimu Ya Elimuu..
Ili nimeliandika hapo juu kwenye maelezo kuhusu Secondary soma tena Ndugu mnafikiAsante mkuu,ila nina kaswali kadoogo km itawezekana naomba jibu.
Hapo kwenye masomo ya jumla kwa O level naona yapo 14,je mwanafunzi atalazimika kusoma yote ama anaweza kuchagua ayatakayo?
Je ni yapi ni lazima ayasome kati ya hayo?
Asante mkuu,ngoja ni makinike.Ili nimeliandika hapo juu kwenye maelezo kuhusu Secondary soma tena Ndugu mnafiki