Hapo kwenye shahada ya elimu; nadhani wafanye review na kulinganisha na mitaala ya kimataifa. Muda huo (wa miaka miwili) ni mdogo ukilinganisha na "units" wanazotakiwa kucover kabla hawajahitimu. Kama wangetunukiwa "higher diploma", huenda ingewezekana kucover ndani ya miaka miwili, lakini kwa kiwango cha shahada, inabidi wasome angalau miaka mitatu hata kama wametokea kidato cha sita. Vinginevyo, shahada hiyo (ya miaka miwili) haitakuwa recognized mahala pengine (kimataifa), kwani itaonekana shallow (less units).