Haya ndio maboresho ya Mtaala wa Elimu yanayoenda kufanyika Tanzania katika jitihada za kuboresha Elimu

Kwa dunia ya sasa hivi mkuu Curriculum hii ya mfumo kama wa Kenya imepitwa na wakati ndo maana hata kenya nao wameanza kupractise CBC n wao wameanza Mwezi w pili mwkaa huu japo sisi tutaanza miaka ijayo..
CBC (Competent Based Curriculum) inamfanya Mtu akimaliza Form four anakuwa na ujuzi wa kitu fulani na sio curriculum iliyopo sasa hivi form four hana ujuzi wowote
 
Kwenye masomo ya ufundi hapo inabidi wajipange vinginevyo watajifunza historia ya ufundi.Ufundi ni practical na uwepo wa facilities za fani zote( nimeona na uchimbaji madini umo)

Vinginevyo hii elfu kwa msingi na sekondari kwa mwaka( nazo hufika pungufu) tutarudi kwa Mungai ya Chemiphysics, Religion Instructions na akaua masomo ya ufundi, agricultural science na masomo ya biashara!
 
Sasa itakuwaje kwa sisi Tuliosoma Diploma na Tunafundisha Secondary Mkuu au ndo tutapata RIDANDASII.
Mtahamishiwa shule za msingi!! Kuna upungufu mkubwa sana kwenye shule za msingi, tatizo tu ni kwamba serikali haina uwezo wa kuajiri walimu wote wanaohiotajika. Kitakachofanyika ni kuhamishia diploma wote shule za msingi, na kuajiri walimu wengine wa shahada kuziba pengo hilo!!
 
Ile Physichemistry jamaa alikurupuka..
Kama utaona hapo nilivyoandika hiyo sera kila shule inapaswa kuwa na Mikondo miwili au masomo mawili tu ya ufundi yaani kwa mfano shule ya Msingi Bunge dar iwe na umakenika na somo jingine na shule nyingine hivyo hivyo...
Na umeona wamesema kuwa kila somo litaenda kwa mahitaji na upatokanaji wa huduma mahalia kwamfano nategemea kuona Geita,kahama n shinyanga somo la Uchimbaji wa madini likifanyika huko...
 
Ndyo nahisi watafanya hivyo
 
Kuna watu wapo kazini Wana diploma wanahitaji ku upgrade tuu
 
"" Michepuo katika elimu ya Olevel imeongezeka kutoka michepuo 4 hadi Tisa michepuo iliyoongezeka ni .."

Haloo nimeshtuka sana. Nilidhani ni michepuko imeongezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…