Haya ndio maboresho ya Mtaala wa Elimu yanayoenda kufanyika Tanzania katika jitihada za kuboresha Elimu

Je waalimu wametayarishwa vipi kwa mabadiliko haya, maana nasikia yanaanza Januari?
 
Kwanza hao wataalamu wa Elimy ya Amali walioanzisha watawapata wapi?
 
Nimesikia mkuu,frankly inasikitisha sana.Mkuu we know exactly what is going on,but unfortunately we cannot do anything.This is war against our Country.
Sasa hawa wanaoenda kubebeshwa haya masomo makubwa makubwa kama ya computer ndo hawa waliofeli Hesabu Nchi nzima..
VEry sad
 
Mkuu nakudai unakumbuka lakini ?
😂😂
 
🤣 🤣🤣🤣
 
Ni blah blah kama kawaida.
 
Pia naomba vitabu Kama rich dad poor dady vifundishe shuleni au kuwa recommended.

Huo mtaala kwanini hamjatuhusisha sisi GT wa JF

Tuangalie aina ya vitabu vya watu kusoma
 
Na Mwalimu wa shule ya Msingi atapatikanaje? Maana hawa Ndio wanaotumaliza kabisa Wako chini ya kiwango sana Tutafikiaje malengo ya kupata wahitimu bora wa shule za msingi Kama waalimu ni wabovu?
 
Actually inaonekana STEM perse imewekwa pembeni au kusahaulika.
 
Somo la uzalendo kuanzia shule za msingi lingikuwa jambo la msingi sana
 
Kwa hiyo mnaendelea kutuletea waalimu wasiojua kingereza tena?
Ili Sisi tunaosomesha shule za KAYUMBA Tuendelee kusikia kingereza Mtaa wa jirani?
 
Mipango mingiiii...utekelezaji tutaangalia baadaye.
 
Na Mwalimu wa shule ya Msingi atapatikanaje? Maana hawa Ndio wanaotumaliza kabisa Wako chini ya kiwango sana Tutafikiaje malengo ya kupata wahitimu bora wa shule za msingi Kama waalimu ni wabovu?
Nadhani wamesema kuwa daraja III limefutwa na walimu watatakiwa kuwa na diploma
 
Pia naomba vitabu Kama rich dad poor dady vifundishe shuleni au kuwa recommended.

Huo mtaala kwanini hamjatuhusisha sisi GT wa JF

Tuangalie aina ya vitabu vya watu kusoma
Hawawezi kuweka vitabu muhimu kama hivyo ,wenyewe wanawaza kufundushia mambo ya dini mashuleni yaani ni hopeless kabisa hili taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…