The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Nchi hii wajinga ni wengi sana. Changamoto kama hizi serikali haijui?
Ila ukilima bangi hata robo heka popote lazima wajue, upuuzi mkubwa!
Halafu hao walimu waliomchagia Rais Samia form ya Urais hiyo pesa kwanini isingepelekwa huku kuwasaidia walimu wenzao?
Au zile millioni kumi kumi za magoli ya Simba na Yanga huwa zinasaidia nini kwenye jamii tofauti na kutapanywa tu?
Masikitiko makubwa ni kwamba, hata Rais mwenyewe alipokea hiyo hela kutoka kwa watu wasiojielwa wanajipendekeza bure.