Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kazi ya ualimu na halmashauri ni laana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ualimu ni blessings, ni kazi nzuri sana ukiifanya kwa Moyo , walimu ndio wanajenga taifa , viongozi wote duniani unaowajua mawazo yao kwa kujua ama bila kujua yameathiriwa na walimu wao…Mimi ukiniambia niache ualimu sijui kama kuna kazi nyingine “I will be this much happier”Kazi ya ualimu na halmashauri ni laana
Sifa za kijingaUalimu ni blessings, ni kazi nzuri sana ukiifanya kwa Moyo , walimu ndio wanajenga taifa , viongozi wote duniani unaowajua mawazo yao kwa kujua ama bila kujua yameathiriwa na walimu wao…Mimi ukiniambia niache ualimu sijui kama kuna kazi nyingine “I will be this much happier”
Utavyosema mi siwezi kukubishia kimsingi sijui unapitia yapi ila mimi kwangu hii kazi sio laana ni BARAKA sasa kama hutaki jinyee.Sifa za kijinga
Kazi ya ualimu na halmashauri ni laanaUtavyosema mi siwezi kukubishia kimsingi sijui unapitia yapi ila mimi kwangu hii kazi sio laana ni BARAKA sasa kama hutaki jinyee.
Watawapa allowance? Maana sheria za kazi ni masaa 8 na nusu tuFull time.. maana ni kuanzia saa 2 mpk saa 12
My take wake walimu waliochangia hela ya fomu ya mama, ni watu wamfumo wanalinda maslahi yao, haiwezekani walimu walio taabani wakafurahia ccm,Nchi hii wajinga ni wengi sana. Changamoto kama hizi serikali haijui?
Ila ukilima bangi hata robo heka popote lazima wajue, upuuzi mkubwa!
Halafu hao walimu waliomchagia Rais Samia form ya Urais hiyo pesa kwanini isingepelekwa huku kuwasaidia walimu wenzao?
Au zile millioni kumi kumi za magoli ya Simba na Yanga huwa zinasaidia nini kwenye jamii tofauti na kutapanywa tu?
Masikitiko makubwa ni kwamba, hata Rais mwenyewe alipokea hiyo hela kutoka kwa watu wasiojielwa wanajipendekeza bure.
View attachment 2904572
Masaa mawili yanayoongezeka hayana shida.. kumbuka UALIMU ni wito. Pia hata kazi yao sio kama wanafundisha full time/non stop unakuta kwa siku kazi active kbs atafanya 2 hrs / 4 hrs. Muda unaobaki wote anakuwa anafanya shughuli zingine za msingi na zisizo za msingi kama umbea etc wakiwa ofisin mwao.Watawapa allowance? Maana sheria za kazi ni masaa 8 na nusu tu
Seco na primary..unazungumzia walimu wa sek,primari au vyuo?
kupanga ni kuchagua 🐒Nchi hii wajinga ni wengi sana. Changamoto kama hizi serikali haijui?
Ila ukilima bangi hata robo heka popote lazima wajue, upuuzi mkubwa!
Halafu hao walimu waliomchagia Rais Samia form ya Urais hiyo pesa kwanini isingepelekwa huku kuwasaidia walimu wenzao?
Au zile millioni kumi kumi za magoli ya Simba na Yanga huwa zinasaidia nini kwenye jamii tofauti na kutapanywa tu?
Masikitiko makubwa ni kwamba, hata Rais mwenyewe alipokea hiyo hela kutoka kwa watu wasiojielwa wanajipendekeza bure.
View attachment 2904572
Gharama wakati CCM na serikali yake wanasema elimu ni bure!!??Hakuna elimu bure,elimu ni gharama
Takatakakupanga ni kuchagua 🐒
walimu kwa wakati huu wamechagua kwenda na Mama Dr.SSH hadi 2030,
amewafanyia wepesi mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na hao wachache unao waonea huruma wewe....
na huo ni mwanzo tu, bado mataasisi na mashirika mbalimbali ya umma, ya kijamii na kidini yanapanga kufanya hivyo pia wakati muafaka 🐒
kama hili la walimu limekuchefua nadhani yajayo yatakufurahisha zaid...
R.I.P Laigwanan comrade ENL
Takataka
Hii haitosaidia chochote zaidi ya ku increase ongezeko la failures tu mashuleni,,Tema mate chini mkuu... Nje ya mada kuna mbunge ametoa pendekezo bungeni jana kwamba ili tuachane na ujenzi wa madarasa ambao hauna mwisho, wanafunzi wawe wanasoma kwa shift, yaani wengine waje J3, wengine J4, wengine asubuhi wengine mchana, toa maoni yako mkuu..
Uchawa sio poaaaahh!