The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kwa kweli tuna shida. Mtu anajenga nyumba parking anajua itakuwa barabara, mtu anajenga shule hafikirii choo kitatumika kipi.Nchi hii wajinga ni wengi sana. Changamoto lama hizi serikali haijui?
Ila.ukilima bangi hata robo heka popote lazima wajue upuuzi mkubwa.
Afu hao walimu waliomchagia samia form ya uraisi hiyo pesa mbona isingepelekwa huku kuwassidia walimu wenzao.
Au zile million kumi.kumi za magoli ya simba na yanga huwa zinasaidia nini kwenye jamii tofauti na kutapanywa tu.
Masikitiko makubwa ni kwamba hata raisi mwenyewe alipokea hiyo hela kutoka kwa watu wasiojielwa wanajipendekeza bure
View attachment 2904572
Kwahiyo lawama inaenda kwa waalimu au viongozi watendaji, wanafunzi 1500 hao wazazi watashindwa je kujijengea matundi ya vyoo kama sio upumbavu wa wazazi pamoja na viongozi, ada bure loh kweli hi nchi ina laana.Nchi hii wajinga ni wengi sana. Changamoto lama hizi serikali haijui?
Ila.ukilima bangi hata robo heka popote lazima wajue upuuzi mkubwa.
Afu hao walimu waliomchagia samia form ya uraisi hiyo pesa mbona isingepelekwa huku kuwassidia walimu wenzao.
Au zile million kumi.kumi za magoli ya simba na yanga huwa zinasaidia nini kwenye jamii tofauti na kutapanywa tu.
Masikitiko makubwa ni kwamba hata raisi mwenyewe alipokea hiyo hela kutoka kwa watu wasiojielwa wanajipendekeza bure
View attachment 2904572
Nchi hii wajinga ni wengi sana. Changamoto lama hizi serikali haijui?
Ila.ukilima bangi hata robo heka popote lazima wajue upuuzi mkubwa.
Afu hao walimu waliomchagia samia form ya uraisi hiyo pesa mbona isingepelekwa huku kuwassidia walimu wenzao.
Au zile million kumi.kumi za magoli ya simba na yanga huwa zinasaidia nini kwenye jamii tofauti na kutapanywa tu.
Masikitiko makubwa ni kwamba hata raisi mwenyewe alipokea hiyo hela kutoka kwa watu wasiojielwa wanajipendekeza bure
View attachment 2904572
Kwahiyo lawama inaenda kwa waalimu au viongozi watendaji, wanafunzi 1500 hao wazazi watashindwa je kujijengea matundi ya vyoo kama sio upumbavu wa wazazi pamoja na viongozi, ada bure loh kweli hi nchi ina laana.
Kwani magufuli hakuliona hilo mpaka mumlaumu huyu mama!
Ungekuja na malalamiko ya mama kumzawadia yule kafiri wa roma zawadi ya msalaba hapo ningekuelewa.
Unakumbuka mkuu wa mkoa wa Dar kipindi hicho kunenge aliambiwa nini na MAGUFULI kuhusu shule ambapo madarasa yalikuwa na hali mbaya.Huyu mama mpaka astaafu atakua hoi bi taaban, yani hawa wenzetu ni kulaumu na kulialia japo sio wote.
Wakati wa Magu walikua wapi kulaumu! Au hii shule imejengwa wakati wa mama!
Hayo ma V8 yanayopata ajari kwenye msafara wa makonda si yauzwe tu watoto wapate shuleKwahiyo lawama inaenda kwa waalimu au viongozi watendaji, wanafunzi 1500 hao wazazi watashindwa je kujijengea matundi ya vyoo kama sio upumbavu wa wazazi pamoja na viongozi, ada bure loh kweli hi nchi ina laana.
Hakuna Mwl alichangia fedha zile zilikuwa Sanaa za Kaole clubNchi hii wajinga ni wengi sana. Changamoto kama hizi serikali haijui?
Ila ukilima bangi hata robo heka popote lazima wajue, upuuzi mkubwa!
Halafu hao walimu waliomchagia Rais Samia form ya Urais hiyo pesa kwanini isingepelekwa huku kuwasaidia walimu wenzao?
Au zile millioni kumi kumi za magoli ya Simba na Yanga huwa zinasaidia nini kwenye jamii tofauti na kutapanywa tu?
Masikitiko makubwa ni kwamba, hata Rais mwenyewe alipokea hiyo hela kutoka kwa watu wasiojielwa wanajipendekeza bure.
View attachment 2904572
Wao waliwezaje kujenga Shule na hawakufikiria mahitaji ya Choo?Nchi hii wajinga ni wengi sana. Changamoto kama hizi serikali haijui?
Ila ukilima bangi hata robo heka popote lazima wajue, upuuzi mkubwa!
Halafu hao walimu waliomchagia Rais Samia form ya Urais hiyo pesa kwanini isingepelekwa huku kuwasaidia walimu wenzao?
Au zile millioni kumi kumi za magoli ya Simba na Yanga huwa zinasaidia nini kwenye jamii tofauti na kutapanywa tu?
Masikitiko makubwa ni kwamba, hata Rais mwenyewe alipokea hiyo hela kutoka kwa watu wasiojielwa wanajipendekeza bure.
View attachment 2904572
Ccm ishawaharibu akili. Hapo hakuna watu kuna Ng'ombeHuo ni uzembe wa wazazi wao wanashindwa kuchangia elf 10 kila mtoto wajenge choo
Tema mate chini mkuu... Nje ya mada kuna mbunge ametoa pendekezo bungeni jana kwamba ili tuachane na ujenzi wa madarasa ambao hauna mwisho, wanafunzi wawe wanasoma kwa shift, yaani wengine waje J3, wengine J4, wengine asubuhi wengine mchana, toa maoni yako mkuu..Kazi ya Ualimu kwa kweli si wito ni Laana hasa hapa Tanzania.
Na kodi wanazolipa kila uchao, mikopo ya serikali, pesa za msaada za Covid nk zinaenda wapi? Si tumeambiwa royo tua imeongeza watalii na mapesa kibao? Au ndo zinaenda kununua ndege ya viongozi?Kwahiyo lawama inaenda kwa waalimu au viongozi watendaji, wanafunzi 1500 hao wazazi watashindwa je kujijengea matundi ya vyoo kama sio upumbavu wa wazazi pamoja na viongozi, ada bure loh kweli hi nchi ina laana.
Pumba wewe. Wazazi wanalipwa Kodi, serikali itumie Kodi zao. Wao wapande V8 wengine wateseke na michango.Huo ni uzembe wa wazazi wao wanashindwa kuchangia elf 10 kila mtoto wajenge choo
JPM hakulaumiwa? Labda kama ulikuwa unaishi Ukraine [emoji1255]!!!Huyu mama mpaka astaafu atakua hoi bi taaban, yani hawa wenzetu ni kulaumu na kulialia japo sio wote.
Wakati wa Magu walikua wapi kulaumu! Au hii shule imejengwa wakati wa mama!