Pre GE2025 Haya ndio maisha ya walimu waliomchangia Rais Samia Fomu ya Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuhus kuja asubuh na mchana mbn huu utaratibu ulikuwepo.. nimesoma shift ya mchana nilikuw naingia saa 4/6 mpk saa 12 jion na wale wa asubuh walikuwa wanatoka saa 6/8 mchana.

Kuhusu shift sioni tatizo kabisa.. ni kupangilia tu siku mtoto akiwa OFF basi anajaziwa assignments za kutosha ili next day atakayoenda wafanye corrections na kuendelea na ratiba zingine..
 
Ule mchango wa ile fomu ulikuwa wa mchongo! Kuna kundi kubwa sana la walimu wanaojitambua hawakushirikishwa kabisa kwenye huo mchongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ya Ualimu kwa kweli si wito ni Laana hasa hapa andika hapa ni mchango w

Na walimu nao watakuwa na shift?
 
KUTOA ni moyo si utajiri.

Wacha wachange.
 
Mkurugenzia anatembelea gari ya Mil 600
DC anatembelea gari la Mil 600
RC anatembelea gari la Mil 600
Mbunge anatembelea Gari la Mil 600
Mbunge analipwa Mil 11 kwa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…