Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Ukutane na kamama kamekomaa uso halafu kana KOMWE, na kamesuka twende kilioni, mbona utapenda.

Mpaka deki utapiga, na kubong'oa juu!
Hahahaha! Ila brother una exposure kwente vingi mno. Yaani umepatia utadhani unaishi Moshi. Kuanzia kukomaa, kusuka 'twende kilioni', na hapo pa komwe, yaani ndiyo maumbo halisi ya wanawake wengi wa mitaa ya huko.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namba 1, 2 na 10 nina mifano yake hai kabisa. Tena namba 10 ilipaswa iwe namba 1.
 
Namba 3 naamini ulimaanisha wa Kyela na si vinginevyo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilijua tu wapare hatuwezi kukosekana hapa
Ila mimi mpare namtawala vizuri.
Ishu hapa tungetakiwa tuongee ni aina gani ya wanawake wanakubali au wanafaa kutawaliwa........
1.mpare namtawala.
2.mkurya namtawala.
3.muha.
4.mnyamwezi.
5.mnyaturu.
6.mnyiramba.
7.msukuma.
8.mzaramo namtawala japo ana mdomo sana.
9.mmakonde.
10.mhehe.
11.msambaa.
na wengine waliobaki.

Kwa uzoefu wangu hawa hawatawaliki kirahisi.
1.wachagga.
2.wameru.
3.warangi.
4.wahaya.
5.wanyakyusa.
6.wambulu
Haya makabila ogopa sana tena kimbia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… licha ya mimi kutokea kwenye kabila moja wapo ila siwaoi.
 
Dada zangu wa kinyakyusa waliwakosea nini wajameni [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…