Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Eeh sasa ukiwa na mke hutakiwi kupenda tena ama inakuaje?Sasa si una mke wewe?!! Unataka kupita na mnyiha tena? 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh sasa ukiwa na mke hutakiwi kupenda tena ama inakuaje?Sasa si una mke wewe?!! Unataka kupita na mnyiha tena? 🤣🤣🤣
Kha! Em tulia na wewe sasa!!Eeh sasa ukiwa na mke hutakiwi kupenda tena ama inakuaje?
Hahahah kitu nikikielewa lazma niseme nacho.Kha! Em tulia na wewe sasa!!
Unataka kuvunja record ya mfalme Suleiman?
Halafu umeme mwingi ooh!! 😂😂😂
[emoji2957][emoji2957] oi kiitiiiUkutane na kamama kamekomaa uso halafu kana KOMWE, na kamesuka twende kilioni, mbona utapenda.
Mpaka deki utapiga, na kubong'oa juu!
Hahahaha! Ila brother una exposure kwente vingi mno. Yaani umepatia utadhani unaishi Moshi. Kuanzia kukomaa, kusuka 'twende kilioni', na hapo pa komwe, yaani ndiyo maumbo halisi ya wanawake wengi wa mitaa ya huko.[emoji23][emoji23][emoji23]Ukutane na kamama kamekomaa uso halafu kana KOMWE, na kamesuka twende kilioni, mbona utapenda.
Mpaka deki utapiga, na kubong'oa juu!
Wamakua tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naunga mkono hoja yako..
Mfano mzuri ni Wanawake wa Wakimakua hao ni pasua kichwa wanapaswa kuongezewa hapo kwenye orodha.
Huamini?Wamakua tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namba 1, 2 na 10 nina mifano yake hai kabisa. Tena namba 10 ilipaswa iwe namba 1.Orodha yako ya wanawake viburi haujaipanga vizuri. Nadhani ilipaswa iwe hivi
1. Wahaya
2. Wachaga
3. Wanyakyusa
4. Wajita
5. Wakurya
6. Warangi
7. Wasukuma
8. Wajaluo
9. Wazaramo
10. Wameru (mabinti wa arusha, chugastan)
Hayo makabila acha waowane wenyewe. Wanawezana wenyewe. Wewe kama mwanaume Usibabaishwe na uzuri, rangi, tako KUBWA, shepu, mahipsi, msambwanda au K tamu ya moto. Labda kama unataka kula na kusepa (take away) ila Ukiingia kwenye mahusiano serious ya ndoa na makabila hayo na hauna roho ngumu, LAZIMA utanyoosha MIKONO YAKO MIWILI JUU NA KUKIRI KWA KINYWA CHAKO KUWA UMESHINDWA.
Mkuu shikamooo kwa andiko.WAMERU MNAWAKOSEA SANA,kwa Tanzania hii hakuna wanawake wenye viburi kama wameru,HAKUNA YAANI HAKUNA NUMBER 1 MPKA TATU NI WAMERU
Hivi Kuna uhusiano kati ya ufupi wa Mtu na ubishi!?wasukuma ondoa. wachaga, wapare kwa ubishi labda kwasababu ni wafupi, wameru kwa ukatili na ubishi labda kwasababu wamekeketwa, wajaluo ondoa,wahaya ondoa wao ni umalaya tu, wanyakusa ni sahihi. ila sijaona wahehe.
Hatr kakaMkuu shikamooo kwa andiko.
Yaaaani ulichoandika nakazia mara elfu.
Namba 3 naamini ulimaanisha wa Kyela na si vinginevyoOrodha yako ya wanawake viburi haujaipanga vizuri. Nadhani ilipaswa iwe hivi
1. Wahaya
2. Wachaga
3. Wanyakyusa
4. Wajita
5. Wakurya
6. Warangi
7. Wasukuma
8. Wajaluo
9. Wazaramo
10. Wameru (mabinti wa arusha, chugastan)
Hayo makabila acha waowane wenyewe. Wanawezana wenyewe. Wewe kama mwanaume Usibabaishwe na uzuri, rangi, tako KUBWA, shepu, mahipsi, msambwanda au K tamu ya moto. Labda kama unataka kula na kusepa (take away) ila Ukiingia kwenye mahusiano serious ya ndoa na makabila hayo na hauna roho ngumu, LAZIMA utanyoosha MIKONO YAKO MIWILI JUU NA KUKIRI KWA KINYWA CHAKO KUWA UMESHINDWA.
Hawafahi hata kwa bureWanyia
nakaziaHawafahi hata kwa bure
Ila mimi mpare namtawala vizuri.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilijua tu wapare hatuwezi kukosekana hapa
Dada zangu wa kinyakyusa waliwakosea nini wajameni [emoji1787][emoji1787]Ila mimi mpare namtawala vizuri.
Ishu hapa tungetakiwa tuongee ni aina gani ya wanawake wanakubali au wanafaa kutawaliwa........
1.mpare namtawala.
2.mkurya namtawala.
3.muha.
4.mnyamwezi.
5.mnyaturu.
6.mnyiramba.
7.msukuma.
8.mzaramo namtawala japo ana mdomo sana.
9.mmakonde.
10.mhehe.
11.msambaa.
na wengine waliobaki.
Kwa uzoefu wangu hawa hawatawaliki kirahisi.
1.wachagga.
2.wameru.
3.warangi.
4.wahaya.
5.wanyakyusa.
6.wambulu
Haya makabila ogopa sana tena kimbia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] licha ya mimi kutokea kwenye kabila moja wapo ila siwaoi.
Braza braza tena upate mnyakyusa aliyeajiriwa kama ofisa aiseee utalia, utatamani mbingu ifunguke uingie...😅😅 wanavimaneno vya shombo kaka na vijidharau, juzi tu nimetoka kudharauliwa na mnyakyusa 😅Dada zangu wa kinyakyusa waliwakosea nini wajameni [emoji1787][emoji1787]