Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Ukutane na kamama kamekomaa uso halafu kana KOMWE, na kamesuka twende kilioni, mbona utapenda.

Mpaka deki utapiga, na kubong'oa juu!
Hahahaha! Ila brother una exposure kwente vingi mno. Yaani umepatia utadhani unaishi Moshi. Kuanzia kukomaa, kusuka 'twende kilioni', na hapo pa komwe, yaani ndiyo maumbo halisi ya wanawake wengi wa mitaa ya huko.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Orodha yako ya wanawake viburi haujaipanga vizuri. Nadhani ilipaswa iwe hivi
1. Wahaya
2. Wachaga
3. Wanyakyusa
4. Wajita
5. Wakurya
6. Warangi
7. Wasukuma
8. Wajaluo
9. Wazaramo
10. Wameru (mabinti wa arusha, chugastan)

Hayo makabila acha waowane wenyewe. Wanawezana wenyewe. Wewe kama mwanaume Usibabaishwe na uzuri, rangi, tako KUBWA, shepu, mahipsi, msambwanda au K tamu ya moto. Labda kama unataka kula na kusepa (take away) ila Ukiingia kwenye mahusiano serious ya ndoa na makabila hayo na hauna roho ngumu, LAZIMA utanyoosha MIKONO YAKO MIWILI JUU NA KUKIRI KWA KINYWA CHAKO KUWA UMESHINDWA.
Namba 1, 2 na 10 nina mifano yake hai kabisa. Tena namba 10 ilipaswa iwe namba 1.
 
Orodha yako ya wanawake viburi haujaipanga vizuri. Nadhani ilipaswa iwe hivi
1. Wahaya
2. Wachaga
3. Wanyakyusa
4. Wajita
5. Wakurya
6. Warangi
7. Wasukuma
8. Wajaluo
9. Wazaramo
10. Wameru (mabinti wa arusha, chugastan)

Hayo makabila acha waowane wenyewe. Wanawezana wenyewe. Wewe kama mwanaume Usibabaishwe na uzuri, rangi, tako KUBWA, shepu, mahipsi, msambwanda au K tamu ya moto. Labda kama unataka kula na kusepa (take away) ila Ukiingia kwenye mahusiano serious ya ndoa na makabila hayo na hauna roho ngumu, LAZIMA utanyoosha MIKONO YAKO MIWILI JUU NA KUKIRI KWA KINYWA CHAKO KUWA UMESHINDWA.
Namba 3 naamini ulimaanisha wa Kyela na si vinginevyo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilijua tu wapare hatuwezi kukosekana hapa
Ila mimi mpare namtawala vizuri.
Ishu hapa tungetakiwa tuongee ni aina gani ya wanawake wanakubali au wanafaa kutawaliwa........
1.mpare namtawala.
2.mkurya namtawala.
3.muha.
4.mnyamwezi.
5.mnyaturu.
6.mnyiramba.
7.msukuma.
8.mzaramo namtawala japo ana mdomo sana.
9.mmakonde.
10.mhehe.
11.msambaa.
na wengine waliobaki.

Kwa uzoefu wangu hawa hawatawaliki kirahisi.
1.wachagga.
2.wameru.
3.warangi.
4.wahaya.
5.wanyakyusa.
6.wambulu
Haya makabila ogopa sana tena kimbia 😅😅😅😅 licha ya mimi kutokea kwenye kabila moja wapo ila siwaoi.
 
Ila mimi mpare namtawala vizuri.
Ishu hapa tungetakiwa tuongee ni aina gani ya wanawake wanakubali au wanafaa kutawaliwa........
1.mpare namtawala.
2.mkurya namtawala.
3.muha.
4.mnyamwezi.
5.mnyaturu.
6.mnyiramba.
7.msukuma.
8.mzaramo namtawala japo ana mdomo sana.
9.mmakonde.
10.mhehe.
11.msambaa.
na wengine waliobaki.

Kwa uzoefu wangu hawa hawatawaliki kirahisi.
1.wachagga.
2.wameru.
3.warangi.
4.wahaya.
5.wanyakyusa.
6.wambulu
Haya makabila ogopa sana tena kimbia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] licha ya mimi kutokea kwenye kabila moja wapo ila siwaoi.
Dada zangu wa kinyakyusa waliwakosea nini wajameni [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom