Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Utafiti mdogo niliofanya binafsi na Mimi wanaume wengi katika jamii zetu za kiafrika hawahitaji mwanamke msomi na anayejitambua na mwenye kuhoji.. mwanamke mwenye kuhoji mambo anatafsiriwa kama mwenye kiburi.
 
Kuishi na mwanamke wa kijaluo mwenye kazi au kajibiashara Ni kazi kwelikweli.
Kuishi na mwanamke mnyakyusa especially wa Kyela Ni shida na nusu.
Hakuna mwanamke mvumilivu Tanzania hii Kama mwanamke wa kipare.
Wanawake wa kichaga ndio wanaongoza kwa kuolewa na makabila mengine mbali na Kaka zao, wakifuatiwa na wapare.
Kuna mtu kataja wanyiha kwamba Ni wajeuri, kwa zile sura zao ambazo ziko very personal hakuna MTU ambaye sio mnyiha atahangaika na mnyiha.
Ukitaka one night stand chukua mwanamke wa kihaya au kimakonde Ila Kama unataka kuoa, usije ukajiponza kwenda umachingani.
 
Braza braza tena upate mnyakyusa aliyeajiriwa kama ofisa aiseee utalia, utatamani mbingu ifunguke uingie...[emoji28][emoji28] wanavimaneno vya shombo kaka na vijidharau, juzi tu nimetoka kudharauliwa na mnyakyusa [emoji28]
[emoji1787][emoji1787]

Shida ya sisi wanyakyusa ni maskini jeuri. Binafsi sina mpango wa kuoa dada zangu wa mbeya. Nawaachia wachaga
 
Namba 1-4 ni balaa
 
Hawa dawa kuwamaliza tu ,wakikutana wenyewe mambo yanakuwa hivi.
 
Kweli kabisa weka namba 1 muhaya ovyo kabisa
 
wasukuma ondoa. wachaga, wapare kwa ubishi labda kwasababu ni wafupi, wameru kwa ukatili na ubishi labda kwasababu wamekeketwa, wajaluo ondoa,wahaya ondoa wao ni umalaya tu, wanyakusa ni sahihi. ila sijaona wahehe.
Wahaya umalaya wao na kiburi wao kabila hilo ni hatari sana
 
We tabia ya kuanzisha uzi baada ya kipiga kei vanti sio njema list ya hovyo etu wanyakyusa wahaya na wajaluo labda listi ya wabaya
 
wasukuma ondoa. wachaga, wapare kwa ubishi labda kwasababu ni wafupi, wameru kwa ukatili na ubishi labda kwasababu wamekeketwa, wajaluo ondoa,wahaya ondoa wao ni umalaya tu, wanyakusa ni sahihi. ila sijaona wahehe.
Wameru hawakeketi
 
Wanyamwanga.
Ruth popote ulipo bado nakupenda.
Punguza kiburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…