swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Utafiti mdogo niliofanya binafsi na Mimi wanaume wengi katika jamii zetu za kiafrika hawahitaji mwanamke msomi na anayejitambua na mwenye kuhoji.. mwanamke mwenye kuhoji mambo anatafsiriwa kama mwenye kiburi.