Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 583
- 1,265
Mwakata uliMwakata mwenee
Na ile midomo utasema ni wazuri?Jirani zangu wahaya walipaswa kuwa namba moja hapo
List ya mapigano hiyo labdaMkurya anashika namba 1 mpaka 10 wengine ni kawaida tu kila mwanadamu anayo ile 'ego' mnasema
maadili ya jandoni hayaruhusuEndelea tu mkuu
DAVIS MOSHA na Pesa zake,au Doctor MwakaTafuta hela uhakikishe hakuna mwanamke atakuletea kiburi.
Hakikisha kiburi kinakuwa ni pesa yako tu.
Wanakeketa ila walikuja kuachaWameru hawakeketi
Toa wasukuma
Wewe ni msukuma umeona msukuma?Hata wanawake wasukuma ni wakorofi pia usione vile wakiongea kwa kukandamiza maneno.
Labda aolewe na kabila baki lakini kwa Msukuma mwenzie huwa wanasumbua pia
Wewe ni msukuma umeona msukuma?
Sidhani kama kweli ni zamani sana wameachaWanakeketa ila walikuja kuacha
Sio zamani sana. Juzi tu hapo ndio wameacha hiyo mila. Around 2000 bado walikuwa wanafanya hivyo.Sidhani kama kweli ni zamani sana wameacha
Bora utoe wapare au wasukuma uweke wajitaKuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Wanyia
Hawa nao ni moto wa kuotea mbaliNa Wandali
Siyo kweli, wanawake wa Kinyiha ni full adabu na heshima teleWanyia