Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Wachaga wakae namba 1 hadi 3,kiburi pro max
kuna jamaa yangu alikua anakaa na mke wake wa kichaga wilaya x, ndio walipokutana hapo, baada ya mambo kua magumu alihama kwenda mkoa wa jirani akamuacha mke wake kwenye hiyo wilaya, mana mke alikua anataka total control ya everything.. baada ya muda kupita mke akamfuata jamaa huko alipohamia, haikupita hata miezi 5,jamaa akahama tena kwenda mkoa mwingine yani ni full shida, jamaa anasema isingekua ndoa angeshamuacha
 
Hata wanawake wasukuma ni wakorofi pia usione vile wakiongea kwa kukandamiza maneno.
Labda aolewe na kabila baki lakini kwa Msukuma mwenzie huwa wanasumbua pia
Wewe ni msukuma umeona msukuma?
 
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuhusu Ukabila:

-"Ukabila ni sumu katika jamii yetu. Tukianza kuangalia mtu kwa kabila lake badala ya utu wake, basi tunavunja mshikamano wetu kama taifa. Tanzania tumejenga umoja wetu kwa msingi wa utaifa, si kwa misingi ya makabila. Tusikubali kurudi nyuma kwa kuruhusu ukabila kutugawa. Taifa letu ni la Watanzania wote, si la kabila fulani wala kundi fulani. Tusisahau kwamba maendeleo yetu yanategemea mshikamano na ushirikiano wetu kama ndugu wa taifa moja."-

MWALIMU JK NYERERE
 
Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Bora utoe wapare au wasukuma uweke wajita
 
wakuu hivi uko juu aya makabila yameshatajwa?
Wameru
Wachaga
Wakurya
Wanyakyusa
Wahaya
 
Back
Top Bottom