Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Umetaja makabila makubwa tu, zipo sababu zinafanya makabila hayo yawe hivyo.

Tafiti yako ingekua halali ungetaja makabila madogo pia, yapo makabila si makubwa hivyo sifa zake si rahisi kufahamika so ungeyataja ningejua umefanya kweli utafiti
 
Wajita?
 
Dada zangu wanyakyusa wote wapo nyumbani saizi hawaeleweki sijui wameachika au wamepumzika ila hawa mashemeji lawama zao zinafanana
Wanyakyusa badilikeni dada zangu
Hata pesa haiwasumbui hawa watu [emoji1] ni namba 1. apo kwenye list
[emoji1787]
 
Wasukuma umewaonea.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…