Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwili wako na akili zako ni tofauti yaani ww ni kichwa nazi
W. J. Malecela kwa nini kama mnataka serikali mbili wawakilishi wa znz watoe tamko sasa kuwa watarekebisha katiba yao. hakuna haja ya kutumia nguvu. na muwaambie znz kuwa mambo ya muungano yanatakiwa kuwa yanaongezeka sio kupungua.
Ili kuonekana kijana unatakiwa kuongea kwa fact sio kukariri maneno ya nyuma bure bure. sikujua kama wewe ni mwepesi kiasi hiki.pamoja na msimamo wa chama chako ulipaswa kuandika hapa sababu za kupendekeza serikali mbili. vijana tukiwa hivi n aibu jamani.
Ndipo katika kikao cha Bunge la Bajeti cha mwaka 1993, aliyekuwa Mbunge wa Chunya, Mheshimiwa Njelu Edward Mulugale Kasaka akawasilisha hoja binafsi bungeni na kudai Serikali ya Tanganyika ndani ya Muungano ili kutoa uwiano sawa. Hoja hiyo ilipata baraka za Waziri Mkuu wa wakati huo, John Samwel Malecela 'Cigwiyemisi' na kupitishwa na Spika wa Bunge wa wakati huo, marehemu Chifu Adam Sapi Mkwawa ili ijadiliwe ingawa alizuia mjadala usiwe mrefu sana. Hata katika Bajeti ya Wizara ya Sheria na Katiba iliyokuwa chini ya Spika wa sasa Samuel Sitta, waliainisha kwamba kulikuwa na 'Waraka wa Kutaka Maoni ya Wananchi kuhusu Hoja ya Tanganyika (White Paper)'.
Sawa sawa!
"Kuifufua Tanganyika ni Kuiua Tanzania,Sikubaliani Kabisa na Swala hili,Kwa Sifa tu na Uroho wa Madaraka na huku Wakishabikiwa na Mazuzu kuna watu Watafanya Kila hila Zanzibar Ijitenge na Tanganyika,Nasema Dhambi hii ya Utengano na Iwatafune,Naomba Mungu anisamehe,Hakika Dhambi ya Utengano na Iwatafute hawatabaki Salama" - By.Mwl.Julius Nyerere."Nasema Dhambi hii ya Utengano na Iwatafune,Naomba Mungu anisamehe,Hakika Dhambi ya Utengano na Iwatafute hawatabaki Salama"...
Haya maneno hutamkwa na watu wasio wema, na kamwe watu wasiopata katika shauri wakitengana sio dhambi...
Nyerere sio Mungu na ndio maana leo hii hayupo tena kama ambavyo wengi wetu kesho hatutakuwepo...
"Kuifufua Tanganyika ni Kuiua Tanzania,Sikubaliani Kabisa na Swala hili,Kwa Sifa tu na Uroho wa Madaraka na huku Wakishabikiwa na Mazuzu kuna watu Watafanya Kila hila Zanzibar Ijitenge na Tanganyika,Nasema Dhambi hii ya Utengano na Iwatafune,Naomba Mungu anisamehe,Hakika Dhambi ya Utengano na Iwatafute hawatabaki Salama"- By.Mwl.Julius Nyerere. [\Quote]
wakati akiongea hayo kulikuwa na nchi moja na serikali mbili. sasa kuna nini?
Kama alikuwa na maneno mazuri na hadi sasa mnayaona kama ni muhimu kwa ajili ya CCM ilikuwaje MKAMUUA?
Na vile vile structure ya muungano aliokuwa anauzungumzia nyerere sio huu wa sasa. Zanzibar walishajitenga kitambo na nchi yao na kila kitu kinachotambuliwa kwenye dola kamili.
- Mkuu punguza hasira maneno ya Mwalimu hapa mimi sijasema kitu, kama unataka pingana na maneno ya Mwalimu Baba wa Taifa kama alivyofanya Warioba, usinilaumu mimi hapa sijasema anything punguza hasira haya sio maneno yangu kaka ni ya Mwalimu!1
Le Mutuz
mwili wako na akili zako ni tofauti yaani ww ni kichwa nazi
- Mkuu hebu rudia tena unasema nini hasa? Wapi umeshindwa kuyaelewa haya maneno mbona yapo very clear na to the point, au?
Le Mutuz
Kaka huwa napata hasira sana ninaposkia baadhi ya mizoga ikisistiza kila neno la nyerere ni sheria au msahafu wa kufuata. eti maneno ya mwalimu.... nayarudia tena maneno ya mkapa "watu wasiotumia ubongo/fahamu zao kuamua mambo yao bora wangepewa uti wa mgongo bila ubongo"
haya zidumu kila fikira za nyerere.
Kumbe mnamkumbuka tu kuhusu muungano vipi kuhusu rushwa, ufisadi na uhujumu rasilimali za taifa?
-mikataba feki unaizungumziaje?
-utawala wa kifalme unaochipuka kwa kasi unauzungumziaje?
-vyombo vya dola kuua raia wasio na hatia unazumgumziaje?
-kuwafanya wananchi watumwa katika nchi yao vp?
**KAMA KWELI MNANUENZI NA KUMKUMBUKA MWALIMU BASI MKUMBUKENI KWA MATENDO.
My take: Tanzania kwanza wageni baadae
Naunga mkono hoja. Huyu le mutuz ni kichwa nazi kabisa