palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Kila alichokibuni Nyerere kime fail, the man is a failure.
Ujamaa ali fail.
Uchumi ali fail.
Kuebdesha nchi ali fail.
Muungano wake ume fail.
Nashangaa mnaomshabikia failure.
ccm mnamdhihaki na kunajisi mwalimu katika kila jambo
Nyerere ni nani ndani ya nchi hii'?
- Mkuu punguza hasira maneno ya Mwalimu hapa mimi sijasema kitu, kama unataka pingana na maneno ya Mwalimu Baba wa Taifa kama alivyofanya Warioba, usinilaumu mimi hapa sijasema anything punguza hasira haya sio maneno yangu kaka ni ya Mwalimu!1
Le Mutuz
We unaliwa 0713.....
- Kaka toa hoja kuhusiana na maneno ya Mwalimu kama ulitaka maoni yangu hapa hayapo so far wewe deal na maneno ya Mwalimu kama huyawezi tuliza boli kaka waachie wengine wanaoweza kujibizana na Mwalimu.
Le Mutuz
Nyerere alikuwa binadamu kama wengine maneno yake siyo msahafu kuwa yasipingwe, hakuna anayetaka kuvunja muungano tatizo la huu muungano una matatizo mengi.
Watu wanaitaji muungano wenye maslahi pande zote mbili, Jaji Warioba kaeleza kero za muungano huu wa kimaghumashi.
Siyo wote wanahoji huu muungano wanataka madaraka.