Haya ndio Maneno ya Mwisho ya Baba wa Taifa Hili Mwalimu Nyerere Kuhusu Muungano!!

Haya ndio Maneno ya Mwisho ya Baba wa Taifa Hili Mwalimu Nyerere Kuhusu Muungano!!

Kwani Nyerere ndio nani mpaka maneno yake yachukuliwe kua ni ya kinabii au ya kimungu? kuna ubaya gani watu wakigawana mbao?
 
Kila alichokibuni Nyerere kime fail, the man is a failure.

Ujamaa ali fail.
Uchumi ali fail.
Kuendesha nchi ali fail.
Muungano wake ume fail.

Nashangaa mnaomshabikia failure.
 
Hivi mtoto akizaliwa tukiwa na Tanganyika atakuwa Mtanzania,mtanganyika au mshirikisho.,,,,,hahaha,na uraia wake utakua tofauti na wazazi,,,,hahahahaha,Rest in Peace warioba umezeeka vibaya
 
ccm mnamdhihaki na kunajisi mwalimu katika kila jambo

CCM Woooote mazuzu. inamaana hadi leo hawajui kwamba zanzibar walishavunja muungano au munaziba masikio kwa bendeji mkizuga hamskii? aibu sana hii kwa maccm
 
- Mkuu punguza hasira maneno ya Mwalimu hapa mimi sijasema kitu, kama unataka pingana na maneno ya Mwalimu Baba wa Taifa kama alivyofanya Warioba, usinilaumu mimi hapa sijasema anything punguza hasira haya sio maneno yangu kaka ni ya Mwalimu!1

Le Mutuz

Mwalimu ndo kaleta haya maneno hapa!?
 
- Kaka toa hoja kuhusiana na maneno ya Mwalimu kama ulitaka maoni yangu hapa hayapo so far wewe deal na maneno ya Mwalimu kama huyawezi tuliza boli kaka waachie wengine wanaoweza kujibizana na Mwalimu.

Le Mutuz

ha ha ha ha ha haaaaaaaah! Yaani umeleta maneno ya mfu halafu watu walio hai wajibizane, mi nilijua umeyaleta kama reference kujenga hoja yako!
Teh teh teh teh teh teh teeeeeh, something is wrong inside your coconut! Sorry bro! Got em!?
 
muungano aliousema nyrere ulishavunjwa na ccm kwa kuongeza mambo ya muungano na ccm zanzibar kwa kusimamia katiba ya zanzibar kubariki kuingiza mambo ambayo ni dhahiri kuwa yaliuvunja muungano ambao nyerere aliuacha.
NA MIMI NASEMA HII DHAMBI CCM IWATAFUNE MNISAMEHE NA IWATAFUNE TU.
 
Nyerere alikuwa binadamu kama wengine maneno yake siyo msahafu kuwa yasipingwe, hakuna anayetaka kuvunja muungano tatizo la huu muungano una matatizo mengi.

Watu wanaitaji muungano wenye maslahi pande zote mbili, Jaji Warioba kaeleza kero za muungano huu wa kimaghumashi.

Siyo wote wanahoji huu muungano wanataka madaraka.

Mkuu, huyu jamaa yenu le mutuz huenda hata hotuba ya Warioba hakuisikiliza ama hakuielewa
 

Vipi na hii kauli ya Warioba hapa chini unaizungumziaje? je ni kweli au uongo na baada ya kuitafakari kauli hii ya Warioba rejea tena kwenye hicho ulichokiwasilisha.

(Waasisi walituachia muungano wa nchi moja yenye serikali mbili na siyo nchi mbili zenye serikali mbili) - Jaji Warioba
 
Nyerere alikuwa binadamu kama wengine maneno yake siyo msahafu kuwa yasipingwe, hakuna anayetaka kuvunja muungano tatizo la huu muungano una matatizo mengi.

Watu wanaitaji muungano wenye maslahi pande zote mbili, Jaji Warioba kaeleza kero za muungano huu wa kimaghumashi.

Siyo wote wanahoji huu muungano wanataka madaraka.

Leo kwa mara ya kwanza nakupongeza kwa kujivua GAMBA kwa muda na kuangalia maslahi ya Taifa kwa upana Tofauti na viongozi wako akina Nape, Mbunge wenu Olesendeka na huyu mchumia Tumbo Le Mutuz.
 
Back
Top Bottom