Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu okello alipewa chochote na serikali ya mapinduzi ya zanzibar au nd'o alichinjiwa baharini?
mwanangu jamii forum nimekubaki kisima cha great thinkers ila tu vijana magamba wanataka kutuharibia, kweli hii ya Z'bar ni shule tosha kwetu vijana wa kileo.
mi nafikiri hizi video zinaweza kuleta tafsiri ya huruma kwa wale walioathiriwa na mapinduzi. lakini ktuoka moyoni bado naamini kulikuwa na uhalali wa kufanya mabadiliko ya kisiasa zanzibar wakati ule. na kwa vile udhalimu haukuruhusu mabadiliko ya amani mapinduzi yasinge epukika. madhambi yaliyofanywa na waarabu kuwakamata, kuwatesa na kuwatumikisha weusi kama watumwa lazima yangelipwa tu hata na vitukuu vya waarabu husika. unyanyasaji wa hali ya juu kufanywa na serikali ya Jamshid ndani ya mwezi mmoja baada ya uhuru ulitosha kuiondoa serikali yoyote madarakani. mfano kukamata, kutesa na kufungia wapinzani, kufungia magazeti yanayokosoa serikali, kufukuza kazi polisi wote wenye aasili ya bara na kushindwa kurekebisha mgawanyo wa ardhi wa kibaguzi uliokuwepo ni miongoni mwa uhuni uliofanywa na serikali ilyokabidhiwa uhuru desemba 1963.
Shukran sana;
1. Video ya kwanza yenye mauaji na maiti makaburini ni ya rangi. 1964 ni vigumu kikundi cha kiitalia kuwa na colored videography ya ku-shoot zenj
2. Ukiiangalia hiyo helikopta kuna mahali wanatupa kitambaa cheupe, Chanini?
3. Makaburini maiti wamepangwa na wengi wana kofia zao vichwani!!!!
4. Mtangazaji anazungumza Nyerere, Rais Tanzania wakati hakukuwa na Tanzania wakati wa Mapinduzi hayo
5. Maiti wote wameuliwa chini ya MTI wa KIVULI!!!!!!! wamelaliana bila dalili za kukurupuka kuhami maisha yao. Wamefia kivulini!!!!!!
6. Kaburi lilichimbwa siku gani? ya kupindua au kabla au baada? na ukiyaangalia yamefuatana.
7. Angalieni mengine na nyie.
mi nafikiri hizi video zinaweza kuleta tafsiri ya huruma kwa wale walioathiriwa na mapinduzi. lakini ktuoka moyoni bado naamini kulikuwa na uhalali wa kufanya mabadiliko ya kisiasa zanzibar wakati ule. na kwa vile udhalimu haukuruhusu mabadiliko ya amani mapinduzi yasinge epukika. madhambi yaliyofanywa na waarabu kuwakamata, kuwatesa na kuwatumikisha weusi kama watumwa lazima yangelipwa tu hata na vitukuu vya waarabu husika. unyanyasaji wa hali ya juu kufanywa na serikali ya Jamshid ndani ya mwezi mmoja baada ya uhuru ulitosha kuiondoa serikali yoyote madarakani. mfano kukamata, kutesa na kufungia wapinzani, kufungia magazeti yanayokosoa serikali, kufukuza kazi polisi wote wenye aasili ya bara na kushindwa kurekebisha mgawanyo wa ardhi wa kibaguzi uliokuwepo ni miongoni mwa uhuni uliofanywa na serikali ilyokabidhiwa uhuru desemba 1963.
Nakubaliana na wewe kiongozi,pia kuna clip moja nafikiri ya pili kuna rafudhi ya kiswahili cha kubumba, ONDOKA WEWE TUTAKUUABobwe; wenye ile documentary ya Okello ni ya BBC hata mwandishi anajulikana. Angalia kuwa ni ya Black and white. Video zote mbili zimepiga tukio la siku moja hiyo hiyo. Uwezekano wa kikundi cha kiitalia 1964 kiwe na COLOR VIDEOGRAPHY halafu BBC wawe na black and white HAUPO.
Huwezi kusanya watu 500-600 chini ya mti wa kivuli ukaanza kuwafyatulia marisasi bila kutokea patashika ya baadhi kukimbia na kuondoka walipokuwa wamekaa. Hiyo video hayo marehemu wote hakuna dalili za kukimbia toka hicho kivuli cha huo mti
Zoom down kwenye image yenyewe tafuta wenye damu za marisasi zionyeshe!!!!!
By the way, umeona mitaa ya zanzibar? Hawa si walikuwa na ndege?
Mwisho ni kuwa usije-confuse kuwa sina huruma na wale waliopoteza maisha yao katika jambo hili. Nachokwambia na wote pia ni kuwa ukiona jambo chunguza. Aliyeiweka hiyo video pia ana yake. Mi namsikia tuu akisema "barbaric africans killing ARABS AND MOSLEMS" sijui hao waarabu ni dini ipi na waislamu ni kina nani!!!!
Sasa mnalia nini kwani hayo si ndio mapinduzi, mlitaka hao waarabu waendelee kuwazuluma na kuwatia utumwani waafrika milele? Kama nyie hodari wa tape mbona hamna tape za maauaji na mateso waliopewa waafrika na hao waarabu kwa karne tele. Uhai wa kila mtu una thamani sio kuwalilia hao waarabu waliokua watawala dhalimu. Wacheni fitna nyie mna lenu.kumbe bado wajinga wapo jf.wewe cjui ni standard seven ama vp?ama kama sio hvyo wewe ni mwanadada fulani hvi asiyependa mabadiliko.kama huelewi hyo ndo hali halisi iliyotokea zanzibar hata wazazi wangu wanazo tape to vcd nowadays kama unazihataji njoo uchukue.thats why wapemba wanapinga ccm na wanapinga muungano.
Bobwe; wenye ile documentary ya Okello ni ya BBC hata mwandishi anajulikana. Angalia kuwa ni ya Black and white. Video zote mbili zimepiga tukio la siku moja hiyo hiyo. Uwezekano wa kikundi cha kiitalia 1964 kiwe na COLOR VIDEOGRAPHY halafu BBC wawe na black and white HAUPO.
Huwezi kusanya watu 500-600 chini ya mti wa kivuli ukaanza kuwafyatulia marisasi bila kutokea patashika ya baadhi kukimbia na kuondoka walipokuwa wamekaa. Hiyo video hayo marehemu wote hakuna dalili za kukimbia toka hicho kivuli cha huo mti
Zoom down kwenye image yenyewe tafuta wenye damu za marisasi zionyeshe!!!!!
By the way, umeona mitaa ya zanzibar? Hawa si walikuwa na ndege?
Mwisho ni kuwa usije-confuse kuwa sina huruma na wale waliopoteza maisha yao katika jambo hili. Nachokwambia na wote pia ni kuwa ukiona jambo chunguza. Aliyeiweka hiyo video pia ana yake. Mi namsikia tuu akisema "barbaric africans killing ARABS AND MOSLEMS" sijui hao waarabu ni dini ipi na waislamu ni kina nani!!!!
Wickama
ikiwa wewe unafurahia mauwaji haya sawa,
ikiwa video kuwa ya rangi ndio isiwe ya zamani? inafaa nikuulive unaishi dunia ipi mjomba? hujui leo hapa tunavo video za vita vya kwanza vya dunia na zina rangi? au huamini kwamba hao walioweza kuunda video zikarikodi black and white wanao uwezo wa kuunda technology ya kuzitia rangi video hizo?
maiti wenye kofia kichwani ndio hao walizikwa hai
hoja yako ya kwamba jamaa hajakimbia kuhami nmaisha yao....unajuwa geography ya siwani? wakimbilie wapi, au hujuwi kwamba znz ni visiwa kla kona kona bahari?
Una na video hii basi uone wale ambao wazungu walitaka kuwaondosha znz
Wewe kweli huwa mnafiki hizi video si ndiyo wewe ulikuwa unazitumia kama ushahidi.
CC; gombesugu, Boko haram,
Faza; Baada ya Salaam.
Nakushukuru kwa maneno mazuri. Mashaka yangu na ile video ya kwanza ni kuwa zipo kama aina 3 kwenye You-Tube. Kuna moja ni bubu kabisa. Hiyo ambayo ni bubu, inaanzia ndege kujaribu kutua airport ikashindwa na kuondoka na kulikuwa na zogo na ndege ndogo inaungua. Lakini Quality ya Rangi na Photography ya ile video sio ya kuingiza rangi kwenye mkanda wa zamani (panchoromatic to color).
Then Faza mimi nasikitika juu ya hata mtu mmoja kupoteza maisha. Nachosema na ambacho si cha KAWAIDA huwezi kuwakusanya watu 500 chini ya mti wa kivuli ukaanza fyatua bunduki zako bila kutokea mparaganyiko wa HAO WALENGWA. Hayo ndiyo mashaka yangu.
Sina tatizo kabisa na documentary za kina Okello. They look Real.
babou
kitachosikitisha ni kitu kimoja tu nacho ni kwamba watu wasomi wanashindwa kutafautisha baina ya mapinduzi na massacre. 1964 kulifanyika mambo mawili
1. mapinduzi
2. massacre.
Tatizo la pili nanialiyefanya mapinduzi hayo.
1. Mipango yote ilitoka Ulaya na USA tunawajuwa kwa majina walioshiriki katika kupanga mapinduzi lakini siwataji humu.
2. Aloshika bunduki ni MTANGANYIKA. Hili ndio linalotukera sisi wazanizbari. Walituulia jama zetu wapatao 17,000 kwa usiku mmoja tu. Jesgi la tanganyika lilipewa mazoezi maalum huko Tanga na likapitia Bagamoyo kidogo kidogo kwenda kujipanga.
3. Ufunguo wa ghala za silaha alikuwa Kakabidhiwa Bwana Mohammed suleiman Mohammed Al Mfadhil, wiki moja hivi kabla ya mapinduzi akapokonywa na kamanda wake muingereza na kupewa mznzibara ambae alitakiwa awabidhi ufungu huo majeshi ya tanganyik amuda ukifika na alifanya hivo. Bwana huyo Mohammed ndie wakanza alouliwa
Sasa nadhani unafamu kwamba jitendo baya walilolifanya ni kuwatarget watu kwa kabila zao na rangi zao.
Nakwa hilo hatuwasamehe watanganyika maisha na musituone kimya lakini litasemewa hilo wakati wake ukifika
Sasa mnalia nini kwani hayo si ndio mapinduzi, mlitaka hao waarabu waendelee kuwazuluma na kuwatia utumwani waafrika milele? Kama nyie hodari wa tape mbona hamna tape za maauaji na mateso waliopewa waafrika na hao waarabu kwa karne tele. Uhai wa kila mtu una thamani sio kuwalilia hao waarabu waliokua watawala dhalimu. Wacheni fitna nyie mna lenu.
NAUKUUNGA MKONO NDUGU, waache wenye akili za kushikiwa watokwe na mapovumi nafikiri hizi video zinaweza kuleta tafsiri ya huruma kwa wale walioathiriwa na mapinduzi. lakini ktuoka moyoni bado naamini kulikuwa na uhalali wa kufanya mabadiliko ya kisiasa zanzibar wakati ule. na kwa vile udhalimu haukuruhusu mabadiliko ya amani mapinduzi yasinge epukika. madhambi yaliyofanywa na waarabu kuwakamata, kuwatesa na kuwatumikisha weusi kama watumwa lazima yangelipwa tu hata na vitukuu vya waarabu husika. unyanyasaji wa hali ya juu kufanywa na serikali ya Jamshid ndani ya mwezi mmoja baada ya uhuru ulitosha kuiondoa serikali yoyote madarakani. mfano kukamata, kutesa na kufungia wapinzani, kufungia magazeti yanayokosoa serikali, kufukuza kazi polisi wote wenye aasili ya bara na kushindwa kurekebisha mgawanyo wa ardhi wa kibaguzi uliokuwepo ni miongoni mwa uhuni uliofanywa na serikali ilyokabidhiwa uhuru desemba 1963.
Wackima
Wa Alaykum salaam,
Kwanza ujuwe kaka, wazungu wanaujuwa ukweli wote wa mapinduzi lakini hawana sababu ya kufanya mchezo wa kuigiza ili kuwapa nguvu waarabu. kwahivo video hizo ni kweli tu
Pili, unahisi kwanini watu wasikimbie, labda hujui kwamba znz ilivamiwa kijeshi na tanganyika ka muelekezo wa mzungu majeshi yalikuwa kila sehemu
Tatu...mpaka hivi majuzi huko znz polisi mmoja anawashika watu 20, na kuwaambia tangulieni kituoni mimi ninapata chai kidogo, akifika kituoni anawakuta wale watu 20 wanamngoja
NNe.. mauwajmabaya zaidi hayakurikodiwa ni yake watu kutiwa katika tanuri z mikate na kunyomwa wakiwa hai, watu kutiwa katika visima vya maji, kule tunaita visima vya ndoo,
na mengineyo
Faza; Mimi najua lazima kama umepotelewa ndugu zako lazima upate maumivu kama unayoyaonyesha hapa. POLE. La msingi ukisome kitabu cha Kwakeri Uhuru..... hayo unayoyasema YAMO. Jambo ambalo halimo ni moja tuu.
JEE, ASP walilazimishwa msaada wa kuipindua serikali ya Zenj au huo msaada wao ndio waliomba? Kihistoria inaelekea ASP walikuwa hata wapiga kura wanachukua huko ulikotaja kwa miaka mingi na kuwarudisha baada ya uchaguzi. Utayaona haya kwenye hicho kitabu.
Tanganyika iliombwa msaada wa kijeshi na Msumbiji, Angola, Namibia, nk
Kwahiyo; Faza, kama ASP waliomba msaada, wa kupindua TAFADHALI ANZIA LAWAMA HAPO MITAA YA ZENJ. HUKU BARA NJOO BAADAE MKISHA YAMALIZA