TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Hayo maswali wanaulizwa experts we maVC yao tena hapo unataka kumuiba kutoka taasisi nyingineHabari wadau..!
Je ni maswali gani ww binafsi yanakukera sana wakati wa usahili??
Binafsi sipendi maswali haya
1.Je unatarajia kupata mshahara kiasi gani?
Ma HR mnaboa sana hivi kwa nini msiulize maswali ya msingi.πππ
nashauri mnapotangaza kazi wawe wanaweka na mshahara kabisa,ili wasiwe wanauliza maswali yasiyo na maana
Wajinga sana,yaani wao ndio wanataka wafanya kazi harafu wanauliza ujingaπππWanauliza kwann tukuajiri wakati wao ndio wenye shida ya mfanyakazi πππ
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanauliza kwann tukuajiri wakati wao ndio wenye shida ya mfanyakazi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Habari wadau..!
Je ni maswali gani ww binafsi yanakukera sana wakati wa usahili??
Binafsi sipendi maswali haya
1.Je unatarajia kupata mshahara kiasi gani?
Ma HR mnaboa sana hivi kwa nini msiulize maswali ya msingi.[emoji849][emoji849][emoji849]
nashauri mnapotangaza kazi wawe wanaweka na mshahara kabisa,ili wasiwe wanauliza maswali yasiyo na maana
Hahahaa[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1897926