TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau..!
Je ni maswali gani ww binafsi yanakukera sana wakati wa usahili??
Binafsi sipendi maswali haya
1.Je unatarajia kupata mshahara kiasi gani?
Ma HR mnaboa sana hivi kwa nini msiulize maswali ya msingi.🙄🙄🙄
nashauri mnapotangaza kazi wawe wanaweka na mshahara kabisa,ili wasiwe wanauliza maswali yasiyo na maana