BAKIIF Islamic
JF-Expert Member
- Jul 11, 2021
- 600
- 1,843
- Thread starter
- #21
Mkuu umewahi ku-Experience kitu kinachoitwa sayari ya MARS? lakini si unaamini tu kwa kusoma na nadharia ulizopewa na umekubali kua MARS ipo japo hujaiyona. Ni hivyo hivyo unakubali na kukiri kuwa Jesus yupo japo hujawahi kumuona wala kumu-experience.Experience yako ya kufa ni ya muda gani mkuu? Na katika mazingira gani tofauti tofauti?