Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,109
ni kweli vp lakini MUNGU ANA DINI? KAMA ANAYO INAITWAJE?Watu wengine wanahisi huru kujichagulia dini, au kukataa kabisa dini kama sehemu ya utambulisho wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli vp lakini MUNGU ANA DINI? KAMA ANAYO INAITWAJE?Watu wengine wanahisi huru kujichagulia dini, au kukataa kabisa dini kama sehemu ya utambulisho wao.
Brother unajua wanasema ogopa vitu viwili moja MUNGU mbili teknolojia, sasa teknolojia inaongea ukweli km zifanyavyo CCTV camera hakuna CCTV camera inayosema UONGO, sasa wewe ugunduzi wa kifo umetumia teknolojia gani? Uliwaita majini wakuonyeshe?Wewe umewahi kufanya hivyo vitu na ukashuhudia au ume-hadithiwa na kukaririshwa maandishi tu?
Fikiria kwanza michakato iliyopitika hadi kupatikana huo ubongo, fikiria huyo mtu ametokea wapi? miezi 9 katika tumbo. Kabla ya hapo alikua wapi? miaka mingapi katika korodani? kabla ya hapo alikua wapi? alikua ni chakula na nafaka? au alikua wapi? nani kamleta hapa? je huyo aliyemtoa huko alikotoka hadi akamfisha anashindwa vipi kumrejesha? na kumpitisha katika hatua hizi za sakaratul-mauti? Ikiwa tu mwanaadamu mwenzako anaweza kukupa sindano ya usingizi na akakufanya atakavyo iweje MUNGU ashindwe kukupitisha atakapo?Hiyo hadithi ni Uongo mtupu.
Mtu anapoanza Kufa ubongo unapoteza uwezo wake wa kufanya kazi. Hayo maumivu utayasikiaje?
Mimi sijakataa hayo, nakuuliza wewe umewahi kushuhudia hayo au unafuata mikumbo ya watu na kunakili vitabu?Wewe Mzee wa Elimu ya dini huwezielewa haya 🤪😆
Sayari zote zinaonekana kwenye darubini ila kuzifikia ndio shida
Dini ni mfumo wa maisha ya mwanaadamu unaofuata maamrisho yake Mwenyezi MUNGU, kama unajijua upo chini ya amri za MUNGU basi hiyo ndio dini.ni kweli vp lakini MUNGU ANA DINI? KAMA ANAYO INAITWAJE?
Mimi nimekuuliza wewe swali? umewahi kushuhudia hiyo sayari ya MARS jibu ni ndio au hapana.Brother unajua wanasema ogopa vitu viwili moja MUNGU mbili teknolojia, sasa teknolojia inaongea ukweli km zifanyavyo CCTV camera hakuna CCTV camera inayosema UONGO, sasa wewe ugunduzi wa kifo umetumia teknolojia gani? Uliwaita majini wakuonyeshe?
Mwenye kukanusha maisha baada ya kifo ni mpingaj wa MUNGU, Kukataa imani ya Akhera ni kukataa aina yoyote ya uwajibikaji. Watu kama hao hawaamini malipo au adhabu kwa matendo. Hapa hapa ulimwenguni tu, ukivunja sheria za jamii uanchukulia hatua. Iweje kuvunja sheria za aliyekuumba akuache hivihivi?Hizi ni soga tu kama nyingine. Ukifa ndio bye bye hakuna cha maumivu wala moto wala mbingu. Story yako ndio inakuwa imefika ukomoni.
Kwa kutumia teknolojia ndio inaweza kuonekana kupitia viona mbali hilo lipo wazi sasa wewe umeona wapi ulimwengu wa kifo kwamba mtu akitaka kufa anakua hivi na hivi na hivi umetumia vipimo gani au ni suala la Imani sio suala la kuonekana kwa macho yaani ni kiinimacho?Mimi nimekuuliza wewe swali? umewahi kushuhudia hiyo sayari ya MARS jibu ni ndio au hapana.
Kumbe kama hujawahi kuiyona hiyo MARS ila unaamini kwa kutumia teknolojia, basi nami ninaamini matukio hayo ya kifo kwa kupitia matamko ya Mwenyezi MUNGU ambaye amezileta hizo teknolojia duniani.Kwa kutumia teknolojia ndio inaweza kuonekana kupitia viona mbali hilo lipo wazi sasa wewe umeona wapi ulimwengu wa kifo kwamba mtu akitaka kufa anakua hivi na hivi na hivi umetumia vipimo gani au ni suala la Imani sio suala la kuonekana kwa macho yaani ni kiinimacho?
Mwenye hofu na aisiye na hakika ya njia aliyonayo na wala hana hakika kwa kule aendako, huyo ndio mwenye kutishika.Watishe huko mtaani kwenu..mada gani izo bob
Fikiria kwanza michakato iliyopitika hadi kupatikana huo ubongo, fikiria huyo mtu ametokea wapi? miezi 9 katika tumbo. Kabla ya hapo alikua wapi? miaka mingapi katika korodani? kabla ya hapo alikua wapi? alikua ni chakula na nafaka? au alikua wapi? nani kamleta hapa? je huyo aliyemtoa huko alikotoka hadi akamfisha anashindwa vipi kumrejesha? na kumpitisha katika hatua hizi za sakaratul-mauti? Ikiwa tu mwanaadamu mwenzako anaweza kukupa sindano ya usingizi na akakufanya atakavyo iweje MUNGU ashindwe kukupitisha atakapo?
Kumbe kama hujawahi kuiyona hiyo MARS ila unaamini kwa kutumia teknolojia, basi nami ninaamini matukio hayo ya kifo kwa kupitia matamko ya Mwenyezi MUNGU ambaye amezileta hizo teknolojia duniani.
Mkuu, katika ulimwengu huu wa kawaida kila kitu kina cause and Effect, “nje” ya ulimwengu wa asili, Mungu hawezi kuthibitishwa wala kukanushwa na sayansi pekee. Ninyi mmekua mkitegemea sana Sayansi bila kujua wapi sayansi imetokea.Kwa nini nifikirie nilipotoka?
Ukisema nifikirie nilipotoka ni endless question na haliwezi kuwa na jibu. Maana swali hilo halina jibu Kwa sababu litazaa swali jingine huyo aliyeniumba yeye alitoka wapi?
Kwa hiyo Hilo swali Kwa Watu wenye fikra Pana hawezi kuuliza swali ambalo ni endless, haliishi. Na kama watajiuliza basi watahitimisha kuwa Hakuna Mungu.
Kwa kukusaidia tuu, Mimi na wewe tulizaliwa Baada ya kuumbwa katika Matumbo ya Mama zetu. Hatukuwahi ku-exit popote pale.
Ni kama vile utengeneze Computer yenyewe uwezo wa kujichakata kiteknolojia Kwa namna ya reasoning, alafu ijiulize iltoka wapi. Jibu ni kuwa ilitengenezwa, ilikuwa wazo la mtu Fulani.
Mtu anapotaka Kufa Ubongo haufanyi Kazi vizuri Ila mwili ndio unahangaika labda Kwa kukosa hewa, damu, mshtuko, ubongo na moyo kujeruhiwa Kwa kiwango kisichowezekana kupona.
Mtu anapoumwa na Kupata maumivu Makali Ile ni ugonjwa au majeraha ambayo hayahusiani na kifo.
Wapo wanaoumia Sana lakini hawafi , na wapo wanaokufa bila maumivu aidha wakiwa wamelala au wakiwa wanacheka.
Kumbe MARS inaonekana kwa kutumia vyombo lakini hadi uwe na elimu ya anga, vipi unakanusha maisha baada ya kifo ilihali huna elimu ya IMANI. Umepata wapi hiyo nguvu? Yaani MARS huwezi kuiyona bila kutumia vyombo maalumu, lakini pia inabidi upite class kujifunza. Ujasiri wa kukanusha maisha baada ya kifo unaupata wapi ilihali hujapita Class la IMANIMars inaonekana Kwa Kutumia vyombo.
Kasome Elimu ya anga.
Suala la sayansi sio ishu ya kuamini Bali ni ishu ya uthibitisho,
Huwezi sema unaamini Mars Ipo Wakati kitu kipo.
MUNGU hataki umpende wala hana shida ya upendo wako, yeye ndiye anata akupende kwa wewe kutii amri zake. Sifa ya kupenda ni sifa ya Mwenye kumiliki nasio chenye kumilikiwa. Kwa hivyo ili MUNGU akupende lazima uwe mtiifu na mwenye heshima kwake, kisha yeye atakupa upendo wake. Kamwe ni ngumu kumpenda mtu jeuri, ila ni rahisi sana kumpenda mtu anaye kuheshimu na kukutii.Kitu ambacho unatakiwa kujua Mtoa mada ni kuwa,
Vitisho havijawahi kuwafanya wanadamu wakawa na Upendo na Mungu.
Ili Watu wampende Mungu unapaswa uelezee mambo Mema na mazuri ya Mungu na sio kuwatisha kuwa sijui watachomolewa Roho zao vibaya.
Kwani Nani anajali huyo Mungu akichomoa hizo Roho iwe vibaya au vizuri? Who Care?
Kwani atapara nini akifanya hivyo?
Upendo haulazimishwi, kama Watu hawamtaki Mungu huwezi walazimisha, au huyo Mungu hawezi kuwalazisha na kuwapa adhabu kisa Watu hawampendi.
Huo ni ukatili na ushenzi.
Mungu ninayemjua Hana Sifa hizo za kijingajinga.
Urongo mtupu. Wewe uliwahi kufa ukashuhudia haya yote kisha ukarudi kuja kuandika? Au ni hekaya tu hizi?Jina lingine huitwa ''Ulevi wa kifo'' haya ni 'maumivu ya kifo' au mafuriko ya mauti. Hakika Kila nafsi itataabika wakati wa mauti yake. Kwetu sisi waislamu tunazo dalili ambazo humpata mtu siku 40 kabla ya kufa kwake.
Nafsi zetu ipo siku zitalipwa adhabu ya udhalili kwa sababu zilikuwa zikisema uwongo juu ya Mwenyezi Mungu, na kuzifanyia kiburi Ishara zake.
Sakaratul Mauti ni Uchungu wa kifo, ni magumu ya pekee ambayo mtu anayekufa hupata kabla ya kifo chake na wakati nafsi inatoka kwenye mwili wake. Ni ngumu sana mwanaadamu kupata nafasi ya kutoa Wosia kwa jamaa zake akiwa katika kipindi hiki.
Ulevi wa mauti' ni hali maalum inayoambatana na ukali na ina athari kubwa katika nafsi na mwili wa mwanadamu, na miongoni mwa athari zake ni kutokea hali mbaya ya usingizi na ulevi kwa mtu anayekufa, na hali hii inamshinda, kubadilika. ufahamu wake na akili yake, hivyo kwamba mtu anayekufa katika hali hiyo anakuwa kama mlevi, na ndiyo sababu ikasemwa kwamba 'Kifo ni kichaa''. Siku zote anayekufa lazima ajisaidie haja kubwa na ndogo.
Na ulevi wa mauti kwa mtu anayekufa huwa ni mkali sana, yaani ukali wake unaoushinda na kuubadilisha ufahamu wake na akili yake ni kama ulevi kutokana na kinywaji.
Viwango vya ukali wa kifo
Ulevi wa kifo ni moja ya hali ngumu sana ambayo mtu hupitia mwisho wa maisha yake ya dunia wakati anakufa na roho inapotoka kwenye mwili wake, kifo na ukali wake, lakini wakati wa kufa kwake ni mwanzo wa faraja yake, na kuokoka kwake na matatizo ya dunia, hivyo anajikuta katika hatua nyingine ya maisha.
Ukali wa kifo “Kwa Muumini ni kama harufu nzuri anayoisikia, kisha analala usingizi kwa sababu ya wema wake, na uchovu wake wote na maumivu huondolewa kwake, na kwa mtu mwenye kiburi aliyepuuza matakwa ya MUNGU ni kama kuumwa kwa nafsi. Michomo ya nyoka na n'ge, ukali wake huwa ni mbaya zaidi.
Katika Hospitali nyingi kumeshuhudiwa watu wakitapa na kuhangaika wakati wa kukata roho, mwingine roho inatoka akiparamia ukuta kwa machungu.
Maumivu ya kifo ni kama chujio kwa watu wengi, ni lazima kila mwanaadamu kupitia hatua hizi, hata wanyama hupitia hatua hizi wakati wa kuchinjwa kwao, hupaparuka na kwenda hovyo. Uchungu wa kifo wakati mwingine umefananishwa na machungu anayopata mbuzi akichunwa ngozi yake akiwa mzima.
“Mauti ni msafishaji, huwachuja Waumini na dhambi zao, na ni uchungu wa mwisho unaowasibu, ni fidia ya dhambi iliyobakia.” Kwa ajili yao, na Atawatakasa walioamini na matendo yao mema. , ili iwe ni raha au faraja ya mwisho itakayowafuata, na iwe ni malipo mema ya mwisho watakayopata.
Uchungu wa mauti na ukali wake ni lazima kwa kila nafsi, na ni makali sana kwa watu wasiomjua MUNGU, na inaweza kuwa kali kwa baadhi ya waumini ili wanyanyue safu zao na kuwaondolea madhambi yao, kwa kuwa inaweza kuwa nyepesi. kwa wengi wao:
View attachment 2700348
Mars inaonekana bila hata vyomboKumbe MARS inaonekana kwa kutumia vyombo lakini hadi uwe na elimu ya anga, vipi unakanusha maisha baada ya kifo ilihali huna elimu ya IMANI. Umepata wapi hiyo nguvu? Yaani MARS huwezi kuiyona bila kutumia vyombo maalumu, lakini pia inabidi upite class kujifunza. Ujasiri wa kukanusha maisha baada ya kifo unaupata wapi ilihali hujapita Class la IMANI