Haya ndio maumivu au uchungu wa kifo unaompata mtu anayekufa 'Sakaratul-Mauti'

Experience yako ya kufa ni ya muda gani mkuu? Na katika mazingira gani tofauti tofauti?
Mkuu umewahi ku-Experience kitu kinachoitwa sayari ya MARS? lakini si unaamini tu kwa kusoma na nadharia ulizopewa na umekubali kua MARS ipo japo hujaiyona. Ni hivyo hivyo unakubali na kukiri kuwa Jesus yupo japo hujawahi kumuona wala kumu-experience.
 
Watu na experience za kufa asante
Mkuu umewahi ku-Experience kitu kinachoitwa sayari ya MARS? lakini si unaamini tu kwa kusoma na nadharia ulizopewa na umekubali kua MARS ipo japo hujaiyona. Ni hivyo hivyo unakubali na kukiri kuwa Jesus yupo japo hujawahi kumuona wala kumu-experience.
 
Hakuna hadithi za kijinga kama za dini mkuu , yote ya yote kila mtu aishi anavyoona.
Hata mwanao wa kumzaa kamwe huwezi kumuacha aishi anavyoona yeye, utatumia gharama nyingi kumlinda, kumfundisha, kumtunza na kumuongoza kwa namna unavyoona wewe inafaa, tena utamfungia ndani ya geti kuepuka madhila ya binaadamu. Iweje MUNGU akuumbe halafu akuache hivi hivi ufanye unavyoona wewe ilihali anajua nje kuna shetani wa kukupoteza?
 
Mkuu hizo hadithi zako naona kwangu hazina faida Acha tu nijikatae .
 
Mars inaonekana,wewe tuambie uko experience lini maumivu ya kifo?
 
Ukitumia technology binoculars kubwa kubwa unaiona Mars na sayari zingine, sasa wewe ulifika lini kwenye ulimwengu wa kifo ushawahi kufa?
 
Ukitumia technology binoculars kubwa kubwa unaiona Mars na sayari zingine, sasa wewe ulifika lini kwenye ulimwengu wa kifo ushawahi kufa?
Wewe umewahi kufanya hivyo vitu na ukashuhudia au ume-hadithiwa na kukaririshwa maandishi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…