Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Hahah🙌Uko siriaz nikutaje kiongozi mkuu wa kundi namba 3?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah🙌Uko siriaz nikutaje kiongozi mkuu wa kundi namba 3?
Mi nakuangalia tu. Japo umesusa kujibu PM zangu, bado sijakata tamaaHahah🙌
Basi wewe ndio kiongozi wa kundi namba tatu, unavuruga mada kabisa, sasa hii uliyoandika ni nje ya mada kabisa halafu my PM is locked, unataka tu kufurahisha jamviMi nakuangalia tu. Japo umesusa kujibu PM zangu, bado sijakata tamaa
Hapo unethibitisha bila mashaka kuwa mimi ni monitor wa kundi namba 9. Nimeshaongea na spika wangu wanipe mitano tena.... yani nitake nisitake...Basi wewe ndio kiongozi wa kundi namba tatu, unavuruga mada kabisa, sasa hii uliyoandika ni nje ya mada kabisa halafu my PM is locked, unataka tu kufurahisha jamvi
😅😅😅 subiri mama bado anateua, kuhusu PM, utakua umejichanganya, PM yangu imefungwaHapo unethibitisha bila mashaka kuwa mimi ni monitor wa kundi namba 9. Nimeshaongea na spika wangu wanipe mitano tena.... yani nitake nisitake...
Jibu PM yangu basi tuyajenge... unajua kila nikiona avatar yako na mwandiko wako najisikia kama nimeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Daslam...
Ushasahau mimi ni mod, nina access na PM zote. Jibu PM yangu acha longolongo. Au nikakusemelee kwa mama akutengue kiuno?😅😅😅 subiri mama bado anateua, kuhusu PM, utakua umejichanganya, PM yangu imefungwa
Niseme ama nisiseme??Mimi Niko group gani??
Sema su..... nitaje namba ya kundi ulilotajwa..🤣😂Kimeumana lol, [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna limoja linajiita juu ya ndimu.Umesahau kuna Mapunga humu ya kumwaga pia
Msioandika.JF hatuongei mbona?Umesahau sisi wazee wa kujinyamazia kimya
Afu mekumisi mpaka baioloji yangu chini ya kitovu imegoma kufanya physical change... yani mpaka niifanyie chemistry flani hivi ndo inakuwa solid...Kimeumana lol, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanajumuiya unafanya gani hapa?Msioandika.JF hatuongei mbona?
Naandaa sehemu ya ibada mwanajumuiya mwenzangu.Usingizi umetoroka😂😂😂Mwanajumuiya unafanya gani hapa?
Afu we jamaa tulia basi, utaniharibia windo langu. Leo mtego umegoma kunasa hivi sasa natumia manati....Sema su..... nitaje namba ya kundi ulilotajwa..🤣😂
Usijali... hivi sasa mtakatifu wa Jumuiya yetu amelala. Hawezi kutusemelea kwa Maulana. Piga kimyakimya basi... usije kumshtua usingiziniNaandaa sehemu ya ibada mwanajumuiya mwenzangu.Usingizi umetoroka😂😂😂
Mbappe kafunga goli la pili huko ,lakin ni offside ...
France 1-0 germany
Kwako mwalimu kashasha
Ungeweka na majina ya viongozi wa kila kundi ulilotaja hapo juu
MbeaKwa hiyo wewe mkuu upo kundi gani hapo??? Tuanzie kwako .