Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe bwana ako ashakugegeda sio?Hivi mnagegeda wake zenu saa ngapi au ndo kimoja kwa mwaka??
Kuna mada za pombe kali za bei mbaya pia, kuna mada ya magari mtu anadai hawezi panda hizi IST yeye boy wake ana BMW X6.Namba 10 nmecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila kuna watu wanajua show off nyie, kuna mada ya perfume huko nachokaga kabisa
No 5 , kuna watu hujawataja hapo aisee ikitokea umewagusa bahati mbaya utanyanyasika mno jf kwa wiki hio [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora pombe unaweza kuzijua bei na hujanywa [emoji2][emoji2] tatizo ndinga, watu wanataka mandinga kama wako kwenye fast ans furious..Kuna mada za pombe kali za bei mbaya pia, kuna mada ya magari mtu anadai hawezi panda hizi IST yeye boy wake ana BMW X6.
Hiyo ya kubishana na Jack of all trades master of none ilitokea kwenye ile issue ya vocha za kulipwa na app gani sijui miaka mitatu iliyopita. Kuna jamaa nahisi alipigwa ban ndefu wakati alikuwa sahihi.
AiseeJf imejaa watu wa kila aina na ndio hawa hawa tunaishi nao mtaani, wengine pia ni ma diaspora, viongozi nk..
Haya ndio makundi ya jf na karibu kila mtu yupo kundi tajwa na tabia zake kama ifuatavyo.
1:Wapenda siasa..
Hapa wapo watu ambao wao utawakuta kwenye jukwaa la siasa tu, maisha yao na uwepo wao jf wameamua kuutumia kujadili siasa safi na structure zake.. Huwa sio watu wa mbwembwe nyingi..
2: wapinga serikali.
Hawa kila kitu kinachofanyika kuhusu serikali lazima wapinge kwa nguvu zote..Pasipo na aababu ya msingi, wao furaha yao ipo hapo, na huamua kumalizia stress zao hapo. Yaani akinyimwa hata kifanyio na mkewe atailaumu serikali, akilala njaa lawama kwa serikali, akidaiwa kodi lawama kwa serikali.. Siku hizi wamehamia kwa diamond sadala...
3: Wavuruga Mada (vimbelembele)
Hawa kazi yao ni kuvuruga mada za wengine, kwani hupenda kuingiza kitu tofauti na mada yenyewe ili mradi tu wafurahishe nafsi zao mfano, utakuta mtu anaongelea ajali iliyotokea maeneo ya salasala.
Lakini mtu anakuja kujibu "eeh shoga mbona kule kwa jana sijakuona?", halafu mwenzie anajibu " shemeji yako aliniweka kwapani shoga eeh nipe ubuyu send off ya felista"
Au utaskia "mie madini nayaheshimu sana,nilizamia chato kutafuta! Lakini kiuhalisia hajawahi hata kukanyaga huko mgodini..
4: Wajuaji (much know)
Hawa watu wa kundi hili ndio wamejaa wengi sana, yupo radhi aka google fasta na kuja kuendelea na arguments mpka kuchee!
Watu hawa wanajua siasa, soka, mapenzi, ujambazi, umalaya, utafutaji, technology, uchawi, wanyama, muziki, style zote za kusasambuana.. Huwezi kubishana nao ukawashinda watu hawa.
5: Wasioguswa (untouchable)
Hawa ndio wanaomiliki jf! Kwa lugha nyingine ni kuwa wana ushawishi mkubwa na wamejitengenezea Image ya kuaminika! Kiasi kwamba akisema haya ni makalio wakati ni kichwa kuna kondoo wanaamini.
Na ole wako ubishe uone utakavyoshukiwa na kondoo kama mwewe..!
"una stress" , tafuta hela" hayo ni maneno utaambiwa na kondoo wao.
6: matapeli..
Hawa ni kundi la Wale ambao siku zote huwa wanakuja kulia lia shida na kuombwa kusaidiwa na mara nyingi huwa ni msaada wa kifedha tu..!
"nimekata tamaa ya maisha nataka kujiua" ni baadhi tu ya maneno utayaskia kama hayo.
(hapa sitaki umbea)
7: Malaya waliokubuhu...
Ndio ni malaya! Ni malaya!
Hana jamvini mara nyingi kila mtu analinda legacy yake hadharani.
Waswahili hawakukosea kusema hakuna mkate mgumu Mbele ya chai.
Wapo watabe wengi wamejipatia matunda humu kwa bei sawa na bure au bure kabisa na wala huwezi jua.. Japo ni maamuzi ya watu hao wawili mimi sitaki umbea...
(mdomo unaponza kichwa sitaki unoko tafuta na wewe)
8: Washauri wazuri..
Hawa ni watu ambao akikupa ushauri unaweza dhani huyo ni malaika anakaa mbinguni..!
Yaani anakupa A to Z na unaelewa wazi tatizo lako liko wapi...
Sad news ni kwamba hatujui maisha yao background hawa adviser kama wanatekeleza haya wanayoshauri...
9: Watu wa masikhara na mizaha.
Hapa ndio wapo wengi sana kiss kwamba mtu akiwa mgeni basi anaweza dhani wamejaa watu hao tajwa tu..
Wanaweza leta mizaha hata kwenye mambo muhimu
10: wazee wa kufake life (kujifaragua,kujishongondoa)
Hawa ndio wapo asilimia 98 humu
Maana kila mtu atakwambia ana gari, tena ni kali sio passo wala vitz sijui vinini.!
Lakini sasa sijui hizi vitz tunazoziona mtaani ni bata wanaendesha?
Hata akiweka mada lazima katikati achomekee, " mwaka jana nilipoenda Dubai kisha nikapitia paris nilikuta weusi wengi sana wana maisha magumu"
Au mie juzi nilipokula kitimoto kilo 5 ilinipa kichefu chefu sijui watu mnakula vipi?"
Ama "jack Daniel ile ya laki 6 ndio nzuri hivi vya 20k ladha yake huwa inanichefua..
Lakini ukija kumuona live huyo aliyeenda paris utakuta kavaa kiatu kinacheka kwa huzuni, ndevu na shati lake utadhani limetoka kuliwa na ng'ombe!
Na huyo wa jack Daniel utamkuta kavaa Dela la buku 6 na akitoka basi ujue anaenda kunywa K vant aka kifutio ili asahau shida haraka...
(sitaki kurogwa hapa panatosha
11: wasimbe (hawajaoa wala kuolewa.)....
Hapa wako wengi sana asilimia 89 wapo wapo tu, ni watu wazima kabisa lakini kuoa/ kuolewa wanaona kama watakufa leo mke arithi mali, mali zenyewe ukute ni kijiko na kuku wawili wenye ugonjwa wa mdonde!
Wapo pia wenye maisha mazuri humu lakini hawa na ndoa ni sawa na swala na simba! Kazi yao kuviziana na kunyanduana kisha wanashika 50 zao, mtu kishapata kipara cha uzee na kichwa chenyewe kilivyo kama sofuria la jela lakini hataki kuoa
Kama mtanipiga mawe haina noma
Mkuu weww upo kundi namba 3 & 9😂😂😂Mbappe kafunga goli la pili huko ,lakin ni offside ...
France 1-0 germany
Kwako mwalimu kashasha
Utafiti wako bado haujakomaa... kuna makundi manne hujayataja... usithubutu kuniomba nikusaidie maana najua bado unadaiwa na bodi ya mikopo.Jf imejaa watu wa kila aina na ndio hawa hawa tunaishi nao mtaani, wengine pia ni ma diaspora, viongozi nk..

Ni yapi hayo mzee wanguUtafiti wako bado haujakomaa... kuna makundi manne hujayataja... usithubutu kuniomba nikusaidie maana najua bado unadaiwa na bodi ya mikopo.
Ni wivu tuJf imejaa watu wa kila aina na ndio hawa hawa tunaishi nao mtaani, wengine pia ni ma diaspora, viongozi nk..
Haya ndio makundi ya jf na karibu kila mtu yupo kundi tajwa na tabia zake kama ifuatavyo.
1:Wapenda siasa..
Hapa wapo watu ambao wao utawakuta kwenye jukwaa la siasa tu, maisha yao na uwepo wao jf wameamua kuutumia kujadili siasa safi na structure zake.. Huwa sio watu wa mbwembwe nyingi..
2: wapinga serikali.
Hawa kila kitu kinachofanyika kuhusu serikali lazima wapinge kwa nguvu zote..Pasipo na aababu ya msingi, wao furaha yao ipo hapo, na huamua kumalizia stress zao hapo. Yaani akinyimwa hata kifanyio na mkewe atailaumu serikali, akilala njaa lawama kwa serikali, akidaiwa kodi lawama kwa serikali.. Siku hizi wamehamia kwa diamond sadala...
3: Wavuruga Mada (vimbelembele)
Hawa kazi yao ni kuvuruga mada za wengine, kwani hupenda kuingiza kitu tofauti na mada yenyewe ili mradi tu wafurahishe nafsi zao mfano, utakuta mtu anaongelea ajali iliyotokea maeneo ya salasala.
Lakini mtu anakuja kujibu "eeh shoga mbona kule kwa jana sijakuona?", halafu mwenzie anajibu " shemeji yako aliniweka kwapani shoga eeh nipe ubuyu send off ya felista"
Au utaskia "mie madini nayaheshimu sana,nilizamia chato kutafuta! Lakini kiuhalisia hajawahi hata kukanyaga huko mgodini..
Mada inahusu mtu aliyezamia bondeni akielezea mkasa wake, wao watakuja kati kati na Kuanza ngendembwe zao " yaani wanawake tunaweza pia kuna Dada alikuwa anauza ndala za kimasai mgodini saivi ana duka kubwa ni broker"
"nilizamia ludewa Nilikuwa nakula wali mkavu ili nisave hela" ama utawaskia "jana shoga shemejio kanibana wakati mie simba anacheza!"..
4: Wajuaji (much know)
Hawa watu wa kundi hili ndio wamejaa wengi sana, yupo radhi aka google fasta na kuja kuendelea na arguments mpka kuchee!
Watu hawa wanajua siasa, soka, mapenzi, ujambazi, umalaya, utafutaji, technology, uchawi, wanyama, muziki, style zote za kusasambuana.. Huwezi kubishana nao ukawashinda watu hawa.
Utawaskia mara kadhaa "ash wewe sauzi nimekaa sana, huwezi kupata warembo wa kishua sana sana utawapata malaya"
Au "harmonize amekengeuka kesho Yake itakuwa ngumu sana" kana kwamba yeye ni Mungu mpaji wa vyote..
5: Wasioguswa (untouchable)
Hawa ndio wanaomiliki jf! Kwa lugha nyingine ni kuwa wana ushawishi mkubwa na wamejitengenezea Image ya kuaminika! Kiasi kwamba akisema haya ni makalio wakati ni kichwa kuna kondoo wanaamini.
Na ole wako ubishe uone utakavyoshukiwa na kondoo kama mwewe..!
"una stress" , tafuta hela" hayo ni maneno utaambiwa na kondoo wao. Akikugusa wewe ni sawa ila ukimgusa yeye utaambiwa "wapuuzi dawa yao ni kuwapuuza"
"punguza uchawi"
6: matapeli..
Hawa ni kundi la Wale ambao siku zote huwa wanakuja kulia lia shida na kuombwa kusaidiwa na mara nyingi huwa ni msaada wa kifedha tu..!
"nimekata tamaa ya maisha nataka kujiua" ni baadhi tu ya maneno utayaskia kama hayo. Nilipata ajali nimebaki shingo tu! Nashindia maandazi na maji ya kandoro.. Kwaherini wana jf hamtoniona tena" then ana log out..
(hapa sitaki umbea)
7: Malaya waliokubuhu...
Ndio ni malaya! Ni malaya!
Hana jamvini mara nyingi kila mtu analinda legacy yake hadharani.
Waswahili hawakukosea kusema hakuna mkate mgumu Mbele ya chai.
Wapo watabe wengi wamejipatia matunda humu kwa bei sawa na bure au bure kabisa na wala huwezi jua.. Japo ni maamuzi ya watu hao wawili mimi sitaki umbea... Mara nyingi public hujifanya kujiheshimu sana na kukemea uzinzi karihu wote, sasa hizi geti zinazojaa sijui huwa zinajaza mbuzi bandani ama?
Uzi wa kuliwa kimasikhara ni shahidi yangu
8: Washauri wazuri..
Hawa ni watu ambao akikupa ushauri unaweza dhani huyo ni malaika anakaa mbinguni..!
Yaani anakupa A to Z na unaelewa wazi tatizo lako liko wapi...
Sad news ni kwamba hatujui maisha yao background hawa adviser kama wanatekeleza haya wanayoshauri...kuna mmoja alikuwa ni bingwa wa ushauri kuhusu mahusiano lakini cha ajabu
Binti yake wahuni walimjaza mimba aka jazwa ujazwe au both team to score
9: Watu wa masikhara na mizaha.
Hapa ndio wapo wengi sana kiss kwamba mtu akiwa mgeni basi anaweza dhani wamejaa watu hao tajwa tu..
Wanaweza leta mizaha hata kwenye mambo muhimu
10: wazee wa kufake life (kujifaragua,kujishongondoa)
Hawa ndio wapo asilimia 98 humu
Maana kila mtu atakwambia ana gari, tena ni kali sio passo wala vitz sijui vinini.!
Lakini sasa sijui hizi vitz tunazoziona mtaani ni bata wanaendesha?
Hata akiweka mada lazima katikati achomekee, " mwaka jana nilipoenda Dubai kisha nikapitia paris nilikuta weusi wengi sana wana maisha magumu"
Au mie juzi nilipokula kitimoto kilo 5 ilinipa kichefu chefu sijui watu mnakula vipi?"
Ama "jack Daniel ile ya laki 6 ndio nzuri hivi vya 20k ladha yake huwa inanichefua..
Lakini ukija kumuona live huyo aliyeenda paris utakuta kavaa kiatu kinacheka kwa huzuni, ndevu na shati lake utadhani limetoka kuliwa na ng'ombe!
Na huyo wa jack Daniel utamkuta kavaa Dela la buku 6 na akitoka basi ujue anaenda kunywa K vant aka kifutio ili asahau shida haraka...
Mwengine atakwambia juzi nilikuwa congo kukutana na mtoto wa koffi olomide, ni Best angu sana" wakati kiuhasilia utakuta anakaa bonyokwa na kamfata Best ake kwa mpalange..
Mwengine atakwambia" nilifanya tour last year December kwa Range Rover discovery yangu, aiseeh it was good adventure"
Kumbe jamaa mwenyewe kabanana ndani ya ki passo na ukute ni mnene Kama tembo..
11: wasimbe (hawajaoa wala kuolewa.)....
Hapa wako wengi sana asilimia 89 wapo wapo tu, ni watu wazima kabisa lakini kuoa/ kuolewa wanaona kama watakufa leo mke arithi mali, mali zenyewe ukute ni kijiko na kuku wawili wenye ugonjwa wa mdonde!
Wapo pia wenye maisha mazuri humu lakini hawa na ndoa ni sawa na swala na simba! Kazi yao kuviziana na kunyanduana kisha wanashika 50 zao, mtu kishapata kipara cha uzee na kichwa chenyewe kilivyo kama sofuria la jela lakini hataki kuoa
12: Spana mkononi..
Hawa jamaa kukuta wamepigwa ban ni kawaida sawa na kunywa maji, yaani ni kama mbwai iwe mbwai hawaogopi kukupa za uso, uwe umezingua wewe au yeye haijalishi spana ipo mkononi any time..
Kama mtanipiga mawe haina noma
Namaanisha ambao tunasoma mijadala bila kukommenti chochote.Msioandika.JF hatuongei mbona?
Alikuwa sebuleni anacheki mechi Wala hatujafanyaWewe bwana ako ashakugegeda sio?
Kidding..
Wanataja magari hata hayako tz sijui wenzetu wako nchi ganiBora pombe unaweza kuzijua bei na hujanywa [emoji2][emoji2] tatizo ndinga, watu wanataka mandinga kama wako kwenye fast ans furious..
Ila Jf ukiwa mnyonge bora tu uwe mtazamaji maana hizo Machine zinatajwa hapa unaweza dhani uko Dubai
Sent using Jamii Forums mobile app
Morning glory je?Alikuwa sebuleni anacheki mechi Wala hatujafanya