Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

Kuna mada za pombe kali za bei mbaya pia, kuna mada ya magari mtu anadai hawezi panda hizi IST yeye boy wake ana BMW X6.

Hiyo ya kubishana na Jack of all trades master of none ilitokea kwenye ile issue ya vocha za kulipwa na app gani sijui miaka mitatu iliyopita. Kuna jamaa nahisi alipigwa ban ndefu wakati alikuwa sahihi.
 
Bora pombe unaweza kuzijua bei na hujanywa [emoji2][emoji2] tatizo ndinga, watu wanataka mandinga kama wako kwenye fast ans furious..
Ila Jf ukiwa mnyonge bora tu uwe mtazamaji maana hizo Machine zinatajwa hapa unaweza dhani uko Dubai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee
 
Utafiti wako bado haujakomaa... kuna makundi manne hujayataja... usithubutu kuniomba nikusaidie maana najua bado unadaiwa na bodi ya mikopo.
 
Ni wivu tu
 
Wala matunda kimasihara kila siku wana comment wapi?


Na hao wanachama watiifu wa hayo makundi wanasemaje?
 
Wanataja magari hata hayako tz sijui wenzetu wako nchi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…