Wewe upo dunia gani? Israel hakuna anacho fanya Gaza, zaidi ya kuwauwa watoto na wanawake wasio na hatia, usiku wa kuamkia leo, Israel kakiri kuna raia wake kaumia huko Israel kutokana na Missiles zinazo rushwa toka Gaza.
We jidanganye tu, Israel wanajeshi wake wanebaki kutumia drugs ili waondoe hofu wanayo ishi nayo
Yani mpaa watoke Gaza hakuna mwanajeshi atabaki na akili sawa sawa.
Tutaona mwisho wa hi vita kama Israel ataifuta Hamasi kama anavyo sema Netanyahu 😄
View: https://youtu.be/PIozkzVfaGs?si=f8p9iqD2Adeh_G7u
Hizi Missiles kabla ya masaa matano yalio pita zimerushwa kuelekea Israel kutokea Gaza.