Haya ndiyo Hamas waliyokubali ili vita visimame.Na kama Israel itayakataa basi bora vita viendelee

Hivi unajielewa wewe, israel ilishashinda vita wakiwa na askari mia tatu na jeshi la adui wapo laki 1 na 85+ Hakuna nchi inayoweza kusisimama mbele ya taifa la israel. Subiri uone MWISHO wa vita nani atakayeshinda
 
Mayahudi siku zote ni washenzi tu hawana ukweli
mlishangilia ujinga wa Hamas , sasa hv mnawaita watu washenz , tulieni dawa iwaingie , Israel sio msumbiji kwamba muchinje watu halaf mkaliwe kimya
 
Hivi unajielewa wewe, israel ilishashinda vita wakiwa na askari mia tatu na jeshi la adui wapo laki 1 na 85+ Hakuna nchi inayoweza kusisimama mbele ya taifa la israel. Subiri uone MWISHO wa vita nani atakayeshinda
Ilimshinda nani hizo ni story za uwongo kama mnavyo danganywa sasa hivi eti anapigana na Hamasi, kumbe nyuma ya pazia yuko USA, Europe, India, South Korea na badhi ya nchi za kiarabu๐Ÿ˜„
 
Wewe upo dunia gani? Israel hakuna anacho fanya Gaza, zaidi ya kuwauwa watoto na wanawake wasio na hatia, usiku wa kuamkia leo, Israel kakiri kuna raia wake kaumia huko Israel kutokana na Missiles zinazo rushwa toka Gaza.

We jidanganye tu, Israel wanajeshi wake wanebaki kutumia drugs ili waondoe hofu wanayo ishi nayo

Yani mpaa watoke Gaza hakuna mwanajeshi atabaki na akili sawa sawa.

Tutaona mwisho wa hi vita kama Israel ataifuta Hamasi kama anavyo sema Netanyahu ๐Ÿ˜„


View: https://youtu.be/PIozkzVfaGs?si=f8p9iqD2Adeh_G7u
Hizi Missiles kabla ya masaa matano yalio pita zimerushwa kuelekea Israel kutokea Gaza.
 
hapo kwenye mateka wakiwa hai au wamekufa ndio chukizo.
 
Allah hana chochote anachojua ni kiarabu tu!
 
Hizi kombora zilizorushwa na kwa umbali ambao Hamas wamekimbilia zina madhara madogo sana
Na muda wowote bila kujali kombora liliruka kutokea msikitini au kanisani, shuleni au hospitalini, nyumbani au kambini IDF watavuruga kwa mabomu

zilianza ngonjera za IDF haiwezi kutia mguu Gaza watachinjwa kama kuku but now on wanakalia zaidi ya 80% ya Gaza na wanaokufa kama kuku ni hamas na human shields wao
Mpaka sasa Hamas karata yao pekee waliyo baki nayo ni mateka tu
Kinacholeta ukinza kwa IDF pale Gaza sio Hamas ni kelele za kimataifa kutaka IDF isitishe operation yake

Muda utaongea mkuu
 

Attachments

  • 5666074C-0F69-4823-A464-858622E99AE1.jpeg
    170.3 KB · Views: 2
  • FE223D89-65AA-4FF5-B1CF-58C1F602C2BC.jpeg
    237.8 KB · Views: 2
Wacha maneno mengi Israel wenyewe wanakiri Hamasi ni very strong afu we unakuja piga kelele hapa, eti Israel anaogopa kelele za mataifa toka lini Israel alisikiliza umoja wa mataifa Israel hana ubavu wa kuikalia Gaza ataondoka hapo Gaza atake asitake

We huoni mpaa Ambassador wao pale UN amekuwa kama kichaa ๐Ÿ˜„

Israel anakingiwa kifua tu na USA, angeisha potezwa zamani.

Unasema 80% ya Gaza iko chini ya Israel, hivi we unamini hizo propoganda.

Hakuna hata sehemu Israel pale Gaza wako salama, kila siku wanauliwa au jehuriwa wanajeshi zake.
 
Muda utaongea mkuu
Tusubiri tuone
 
Ilimshinda nani hizo ni story za uwongo kama mnavyo danganywa sasa hivi eti anapigana na Hamasi, kumbe nyuma ya pazia yuko USA, Europe, India, South Korea na badhi ya nchi za kiarabu๐Ÿ˜„
Wewe juzi tu hapo, vita hii ya sasa na wewe itakupa picha halisi israel ni nani. Na wewe utasimulia wajukuu wako
 
Yaani uchukue mtu akiwa hai umrudushe akiwa maiti nikusamehe?

Wanaiotetea Hamas watakuwa hawana akili
 
Yaani uchukue mtu akiwa hai umrudushe akiwa maiti nikusamehe?

Wanaiotetea Hamas watakuwa hawana akili
Na Hamas nao watasema yaani unitoe nyumbani kwangu na shambani kwangu halafu ulale wewe.Lazima nikutoe tu nirudi mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ