Haya ndiyo maajabu niliyojionea mlima wa Hanang Katesh Manyara

Hongera sana mkuu.
Big up.
Umeshuka nayo vizuri mno!!

Hapo kwenye mlima wa tatu kwa urefu inaweza ikachanganga kidogo.
Kilimanjaro ina vilele vitatu, virefu zaidi, toa shira ambayo sio kirefu sana.

Inabaki Mawenzi na Kibo sijui kwa nini huwa wanavichanganya ila kiuhalisia Kibo ndio Kilimanjaro halisi, ambayo yenyewe pia ina vilele vitatu.
Gilmans, Stella na Uhuru. Uhuru ndio Highest point sasa.

Mawenzi haipandiki kavu kavu
 
Uko sawa mkuu nimeenda google nimeona niwa Saba kabisa karibia milima4 ipo Kilimanjaro huko yte! Ahsantee sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…