Haya ndiyo maajabu niliyojionea mlima wa Hanang Katesh Manyara

Nimekwenda hapo ni sehemu nzuri, hapa duniani kuna pepo za kutembelea kama sehemu hiyo ili ukiikosa pepo ya mbinguni usijutie sana.

Hivi ni mlima upi wa tatu kwa urefu Tanzania kati ya huo na mlima Rungwe?
Mimi ninavyojua mlima wa tatu ni loolmalasin sio huo japo ni wa nyumbani kabisa sisi tumekulia kwenye kucheza hapo chinichini ya mlima hanang.
 
Mimi ninavyojua mlima wa tatu ni loolmalasin sio huo japo ni wa nyumbani kabisa sisi tumekulia kwenye kucheza hapo chinichini ya mlima hanang.
Aah huu nimeona leo baada ya kuingia mtandaoni.

Huu mlima upo wapi na una sifa zipi kwanini hausikiki sana kama milima mingine?
 
Kaka Nikifa MkeWangu Asiolewe kama Mlima una 3400m unapanda na kurudi siku iyo iyo mbona Kilimanjaro 5800m mtu anatumia wiki au kujiendekeza tu.

Sijawahi kupanda iyo milima mirefu, nishawahi panda Uluguru ndio najionaga mwamba.
Kilimanjaro hali yake ndo kimbembe kama Afya yako ni ya kushikiwa basi ukiludi lazima upitilizie ICU kwanza.
 
Sikuwahi kujua kabisa kuwa mlima Hanang ni mlima wa tatu kwa urefu hapa Tanzania mpaka niliposoma hii post hapa JF.
Wenyeji wa maeneo hayo wana kazi kubwa mnoo kuutangaza mlima huo, wasipojivunia nao hakuna wakuja kuutangaza.
Hawawezi kujivunia kwasasa wanaishi kwa hofu.
Huo mlima uliwaletea msiba mkubwa sana.
Nilienda kushuhudia majanga yale yaani kiherehere chote kilikatika
 
Kichuguu unaita mlima? Jobless tuna tabu sana aisee
 
Sikuwahi kujua kabisa kuwa mlima Hanang ni mlima wa tatu kwa urefu hapa Tanzania mpaka niliposoma hii post hapa JF.
Wenyeji wa maeneo hayo wana kazi kubwa mnoo kuutangaza mlima huo, wasipojivunia nao hakuna wakuja kuutangaza.
Hapo mtoa mada katupiga fix.

Mlima wa tatu kwa urefu ni Loolmalasin 3,682 metres upo Arusha wilaya ya ngorongora kata ya Nainokanoka .

Hii ni kama Kilimanjaro na vilele vyake vitatambulika kama mlima mmoja.
 
Nje ya Mada:

Wazazi ninawaasa jamani wazazi mnaotumia pombe kali keivant minyagi na mipombe mingine mibia mingano jamani wazazi chonde chonde wazazi pombe mnazokunywa msiwape watoto, kuna wazazi ni vichwa maji anataka familia yake yote wawe walevi wanywa pombe kwa hio anaanza kuwabugiza watoto pombe wakiwa watoto yaan mzazi unawanywesha watoto konyagi kweli?

Kweli mzazi watoto miaka 3-8 unapigisha nyagi kisa unataka nao waje kua wanywa pombe? Hii hapana kabisa, ipo hivi kuna mtoto hapa jirani anapitia changamoto ya kuugua kifua kisichoisha na usiku anapata tabu sana anapolala kifua kinambana vibaya mno pia ana tatizo la kukojoa, sasa ipo hivi huyu mtoto mzazi wake akiacha kumpigisha tungi hio hali inapungua hakojoi wala kifua hakibani ila kuna muda anaanza kumpigisha tungi sana sana konyagi chupa ndogo kubwa zimejaa kwenye fridge watoto kila wakifungua fridge wanazikuta na muda mwingine wanataka wanywe nae maana ananywea nyumbani sometimes kwa hio hali inakua mbaya mtoto analala kwa tabu sana unaweza kumhurumia kifua km kimepasuka eksozi anavyokoloma km kifua kimetoboka na anajikojolea mbaya zaidi ni mtoto wa miaka 8 tu, mzazi unamnyweshaji mtoto pombe kali? Mboni wazazi mnapenda kutesa watoto, mtoto na pombe kali wapi na wapi?

Huu ni ukatiri kwa watoto ningeomba Muheshimiwa Waziri na mamlaka zinazohusika na Watoto wajaribu kuwaasa wazazi wenye tabia km hizi waache mara moja kuna wazazi ni vichwa vibovu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…