Haya ndiyo maajabu niliyojionea mlima wa Hanang Katesh Manyara

Haya ndiyo maajabu niliyojionea mlima wa Hanang Katesh Manyara

Kwa maelezo ya wapandisha watalii wapo wanapanda siku2-3 Hadi 9 kufika kileleni inategemea na mtalii mwenyew anataka Nini wengi wanatakaga maelezo. Pia Hali ya hewa ya. Sina utalaam kuhusu kupanda mlima.

Mlima Hanang Wakati walishuka unashuka mbio mbio kama unasukumwa maana una mteremko mkali sana.
Kaka Nikifa MkeWangu Asiolewe kama Mlima una 3400m unapanda na kurudi siku iyo iyo mbona Kilimanjaro 5800m mtu anatumia wiki au kujiendekeza tu.

Sijawahi kupanda iyo milima mirefu, nishawahi panda Uluguru ndio najionaga mwamba.
 
Back
Top Bottom