A
Anonymous
Guest
1. Kuna mazingira ya Rushwa ya ngono kwa Watumishi wao, wakati ambao watumishi wakidai stahiki zao.
2. Kuchepusha dawa za Serikali kupeleka kwenye maduka yao ya dawa, na hivyo kusababisha uhaba wa dawa katika Hospitali ya Mji Korogwe.
3. Kudai 10% pindi Mtumishi anapohamishwa kutoka kituo kimoja kwenda kingine, au pale anaporuhusiwa kwenda seminar (washa).
4. Ubaguzi katika kuwapeleka Watumishi semina kwa sababu ya rushwa ya ngono. Mfano kwenye kwenda kuandaa bajeti ya afya ya halmashauri.
5. Mazoea kupitiliza na Watumishi kiasi kwamba utendaji wa kazi unakuwa mgumu kwenye kituo/vituo.
6. Wanachukua pesa cash ambazo hazijaingia kwenye mfumo (collection account) kwa kisingizio cha dharura ya kifedha kwenye kituo / vituo, badala yake wanatumia kwa matumizi yao binafsi alafu hawazirudishi.
7. Watumishi hawalipwi stahiki zao kwa wakati, wakidai wanatishiwa uhamisho, lakini wao wanajilipa fedha kwa wakati.
8. Wanatumia mafuta ya kituo/vituo kwa kubadilisha kuwa hela cash kwa matumizi yao binafsi. Mfano wanachukua laki tatu (Tsh. 300,000) badala ya mafuta.
9. Waliomba kibali cha kukata miti zaidi ya kumi (10) iliyopo kwenye eneo la hospital ili kutengeneza fanicha za hospitali, lakini badala yake wanauza mbao kimyakimya kwa manufao yao binafsi.
Pia badala ya mbao hizo kuwekwa hospitali, zimewekwa nyumbani kwa Kiongozi.
10. Vyeo vinatolewa kwa wajumbe…. kwa mazingira ambayo ni kinyume na kanuni na maadili.
11. Gharama za kuwasafirisha wagonjwa wa rufaa kwenda Bombo hospitali haziingizwi zote kwenye account ya uchangiaji (collection account), mfano Wagonjwa Watatu wanalipa pesa ya rufaa, lakini ni mmoja tu ndiye hela zake zinaingizwa kwenye account ya hospitali.
12. Ili kurahisisha zoezi la uchepushaji wa dawa za hospital kama mtumishi wa kitengo cha dawa hana ushirikiano wanamuhamisha kwenda kwenye kituo kingine kikazi.