secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Shalom!
Niko mbioni kuanzisha kanisa langu na yafuatayo yatakuwa mambo ambayo nitayafundisha
1. Kwamba ukifa kunakuwa na mzani utakaotumika kupima ubaya na uzuri uliofanya ukiwa duniani na iwapo ukiwa na mabaya mengi basi utatupwa kwa jehanamu ukiwa na mazuri mengi basi utaingia peponi. Hii itafanya watu watende zaidi mema katika kipindi cha maisha yao.
2. Nitawaabia kuwa hakuna dhambi ya kutamani vya mwenzako kwani tamaa ni instinct (kwamba Kila mtu ana tamaa tofauti ni viwango). Nitawaambia watamani viti vya wengine ila wasiviibe au wasiviharibu.
3. Nitawaambia waamini kuwa kuzini si dhambi hata kidogo maana kungekuwa dhambi basi matokeo ya dhambi ambayo ni mimba na hatimaye mtoto yangekuwa haramu. Ila nitawatahadharisha wasijamiiana wakaleta watoto ambao hawana uwezo wa kuwahudumia vizuri, nitawambia kuwa mtu anayeleta mtoto duniani akashindwa kumhudumia akiwa kwenye ndoa ana makosa mara elfu kumi kuliko yule anayezaa nje ya ndoa na akamtunza yule mtoto.
5. Kujiua siyo dhambi na kwamba ukimkuta mtu anajaribu kujiua usimsaidia isipokuwa kama unamdai au kama kama kuna mzigo anataka kukuachia kwa mfano watoto, unataka kumtumia kwa maslahi fulani au anataka kukuachia kesi yoyote ile. Mwache mtu atangulie kwenye neema bhana!
5. Nitawaambia wauze kura au wasipige kabisa kura kwa wanasiasa wa nchi kama Tanzania maana wakishaongia madarakani wanawasahau wananchi wao. Nitawapa mfano wa wale wabunge waliokuwa wanataniana kuwa Kuna mbunge mmoja hajatahiriwa pia yule mbunge aliyekuwa anazungumzia msuala ya kubeti na sitawaacha nyuma wale wabunge walio na matumbo makubwa wanaolala usingizi mzito bungeni amabao Kila wakishtuka usingizi wanapiga meza hata kama hakuna kilichozungumzwa.
Nitaongeza vitu notakavyokuwa nafunfisha kanisani kwangu, ngoja kwa sasa nikomee hapa.
Setfree nakukaribisha sana kwa church.