Haya ndiyo mafundisho nitakayokuwa natoa nikianzisha kanisa langu

Haya ndiyo mafundisho nitakayokuwa natoa nikianzisha kanisa langu

@Setfree nakukaribisha sana kwa church.
Umeamua kusikiliza roho zidanganyazo na mafundisho ya mashetani?
1 Tim 4:1-5
"Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; kwa unafiki wa watu wasemao uongo..."
 
Back
Top Bottom