Haya ndiyo mafundisho nitakayokuwa natoa nikianzisha kanisa langu

Hili suala la kusema kuzini sio dhambi waumini watakuja wengi mpaka makapu ya sadaka hayatatosha
Yaani lazima tufundashane ukweli usio na kikomo.
Mabo ya fiksi fiksi hayana nafasi tena.
 
pombe sio sigara β™«οΈŽβ™«οΈŽβ™«οΈŽβ™«οΈŽ
pombe sio sigaraβ™«οΈŽβ™«οΈŽβ™«οΈŽβ™«οΈŽX2
 
Si Vibaya Kama Ikikupendeza,Na Kama Hutojali Pia,Ukaniteua Mimi Kuwa Mlezi Wa Kwaya,Haswa Kwaya Ya Vijana Wa Yesu,,,Vijana Wa Kanisa,,"Amani Ya Bwana Na Iwe Rohoni Mwako"
Help halina tabu. Masharti si magumu yaani wewe hata ukilala na mwanakwaya ukajulikana hutaadhibiwa.

#Zama zimebadilika, kudanganyana kama watoto siyo dili tena.
 
Vipi kuhusu miujiza na upako?
Muumini atakayeleta habari ya miujiza tunamfukaza maana katika nyumba yetu a ibada hatutaki masuala ya bahati, habari za vipaji pamoja ni mujiza.

Jitihada na kufanya mbo kwa formula ndiyo kanunu za msingi kwetu.
 
Yohana 3:5
Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu.

1 Wakorintho 6:9-10
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Muumini atakayeleta habari ya miujiza tunamfukaza maana katika nyumba yetu a ibada hatutaki masuala ya bahati, habari za vipaji pamoja ni mujiza.

Jitihada na kufanya mbo kwa formula ndiyo kanunu za msingi kwetu.
japo umeandika kwa spidi ila umeeleweka πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…