Haya ndiyo mafundisho nitakayokuwa natoa nikianzisha kanisa langu

Hivi wale ambao walikufa kabla bibilia haijaletwa Afrika walienda mbinguni au jehanamuπŸ€”.
 
Mkuu nimethibitisha wewe sio tapeli upo kwaajili ya mabadiliko ya Imani😁
Unajua mkuu Huwa naumia ninapoona watu wanadanganywa kwa kutumia mwamvuli wa kanisa na kudanganyika.

Bibilia imepunguzwa baadhi ya contents na kuongezewa baadhi na matapeli ukataka kujua hilo jiulize kwa nini wakatoliki wana vitabu 72 huku madhehebu mengine yakiwa na vitabu 66.
 
Mwanangu kwan bangi unayotumia unachanganyiwa na nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…