Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Hao watu ni mapigano tu jamani dah! Sio poaaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao watu ni mapigano tu jamani dah! Sio poaaah
Inashangaza sana, Taifa kubwa kama Iran linalofanya mambo hadharani yakufurahisha marafiki zake na yakuchukiza maadui zake kila siku lakini kuna wanaolitafuta hawalioni? Upofu wa aina gani huu!?Hizi stori za Iran anatafutwa tumeanza kuzisikia tangu enzi za Ahmed nejad mpaka wa leo anatafutwa tu,, huyo Iran itakuwa hilo chaka alililojificha hata Israeli mtoa roho apajui..
Hakuna vita vya dunia kwasasa. Kama wanadundana,wacha wadundane. Ukisema vita vya dunia yaani na sisi tuingie kwaajili ya maslahi yao!?Kwa namna yoyote ile vita vibaya vya mashariki ya kati na vinavyoelekea kuwa vya dunia vinanukia sana.
Israhell inatakiwa ifutwe kabisa kwa ajili ya amani na usalama wa duniamliposhambulia Israel mlitaka mchekewe ?
Na marekani ndio chanzo kikuu cha kuhatarisha amani katika mashariki ya kati kwani yeye ndio gaidi mkuuIran ndio chanzo pekee cha kuhatarisha amani katika mashariki ya kati kwani yeye ndiye mfadhili mkuu wa magenge ya kigaidi.
Mkuu ukiona bomber kama hio inapigana na vikundi vya watoto WA kigaid jua uncle Sam hajatoa Silaha, tambua taifa lisilo na maonesho ya Silaha ndio hili, hata during WW2 the world was shocked na nuke Hakuna aliejua wanayoNakubali Marekani imejiandaa sana kwa vita vya kiteknolojia.Mfano ni hiyo B1 bomber inapiga kijeuri sana.
Mrusi pekee na mchina ndio wana uwezo wa kuzitafuta B1.iran bado sana kurusha kombora la kuiangusha hiyo ndege.
Pamoja na yote hayo sidhani kuwa kwa kuwa na silaha aina hiyo Marekani ataweza kuzitumia kupiga bila kupata madhara kama wanaopigwa wakijua kutafuta silaha ambazo zinafaa zaidi kupiga kwa hali zao.
Silaha nzuri za nchi changa kuzitumia kwa Marekani na kuipa mtitikisiko ni droni pekee.na droni zenyewe zisiwe hizi hafifu zinazotoka Iran pekee.Yemen na wenzao watafute droni kutoka Uturuki na China wazitumie kupiga maslahi mengi ya kimarekani yaliyoenea mashariki ya kati.
Ndio maana nikaona Saudia inaongozwa na viongozi wapuuzi sana kwa hali za sasa hivI Waachane ni mipango ya kujenga makasino na washirikiane na Iran kujitayarisha kujilinda dhidi ya Marekani na Israel miaka ijayo.Hayo mataifa yatawafanyia fitna kubwa waislamu daima bila kuwatayarishia bakora zao.
M
Marekani ni joka la kibisa
Iran ndio chanzo pekee cha kuhatarisha amani katika mashariki ya kati kwani yeye ndiye mfadhili mkuu wa magenge ya kigaidi.
Allah, ndyo mnavyojidanganya; basi huyo Irani wenu ajichanganye alianzishe. Maayatolah ndiyo itakuwa mwisho wao. Na kwa taarifa Yako, huyo Iran anaviziwa pia na mataifa ya kissuni ili amalizwe. Kwa hiyo wewe kama ni Mssuni, basi unapingana na wenzioNyoka ni Marekani, anastahili auliwe kwa kupigwa kichwani.Sema bado hajatokea wa kumdhibiti.
Hatuna ugomvi wa kisuni na kishia kihivyo kama mnavyopenda iwe.Allah, ndyo mnavyojidanganya; basi huyo Irani wenu ajichanganye alianzishe. Maayatolah ndiyo itakuwa mwisho wao. Na kwa taarifa Yako, huyo Iran anaviziwa pia na mataifa ya kissuni ili amalizwe. Kwa hiyo wewe kama ni Mssuni, basi unapingana na wenzio
Hivi karibuni Marekani raia wake watakuwa wakimbizi tena waraishi mitaa ya Tandika na Manzese kama wanavyowafanya raia wa nchi nyengine. History ya dunia ndio inasema hivyoIran kupitia kwa wizara yake ya mambo ya nje imesema Marekani imefanya kosa kubwa sana la kimkakati kwa kushambulia maeneo ya Iraq na Syria.
Kwa upande wa Iraq imesema haitaki nchi yake iwe ni uwanja wa kujibizana mahasimu na kwamba inataka majeshi ya Marekani yaliyobaki yaondoke haraka nchini humo.Zaidi ya hapo waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo amesema kupiga maeneo ya nchi hiyo ni kukiuka haki na mamlaka ya kiinchi.Papo hapo Iraq kupitia waziri huyo imekanusha madai ya Marekani kwamba walitoa taarifa kabla ya kuanza kushambulia vituo inavyodai vina wapiganaji wanaofadhiliwa na Iran.
Syria kufuatia mashambulio hayo imesema hali ya Marekani kuikalia nchi yao haitoachwa iendelee.
Ama kwa upande wa Houth wa Yemen wamesema hasira zitajibiwa na hasira zaidi na kwamba hawataacha kushambulia meli za wachokozi mpaka hapo Israel itakaposimamisha vita huko Gaza.
Iran says US strikes are a 'strategic mistake'
Hilo halitowezekana Hitler alijaribu akafutika mwenye hata muungane waislamu wote na makafiri wote kuifuta Israel ni ndoto mtajikuta mnaweka picha za watoto mitandaoni kutafuta huruma kwamba Israel inaua watoto na wanawakeIsrahell inatakiwa ifutwe kabisa kwa ajili ya amani na usalama wa dunia
Kwamba unapangia watu nini chakupost au 😀Hilo halitowezekana Hitler alijaribu akafutika mwenye hata muungane waislamu wote na makafiri wote kuifuta Israel ni ndoto mtajikuta mnaweka picha za watoto mitandaoni kutafuta huruma kwamba Israel inaua watoto na wanawake
Magaidi wanajulikana siku zote na wala hilo halina mjadala labda kama mtu anabisha kwa kiburi chake tu au kwa kuona wahusika wa ugaidi ni wa imani moja naye. That's all.Na marekani ndio chanzo kikuu cha kuhatarisha amani katika mashariki ya kati kwani yeye ndio gaidi mkuu
Upo sahihi magaidi wanajulikana kweli anaebisha ni eidha mjinga au yupo imani moja na hao magaidi ndio maana anapingaMagaidi wanajulikana siku zote na wala hilo halina mjadala labda kama mtu anabisha kwa kiburi chake tu au kwa kuona wahusika wa ugaidi ni wa imani moja naye. That's all.
Hilo ndio lengo la Marekani alikuwa super power Baada ya vita vya pili vya DuniaKwa namna yoyote ile vita vibaya vya mashariki ya kati na vinavyoelekea kuwa vya dunia vinanukia sana.
Mataifa ya kiislamu daima ndio uwanja wa kufanyia majaribio ya silaha mpya na misimamo ya kisiasaHilo ndio lengo la Marekani alikuwa super power Baada ya vita vya pili vya Dunia
Kwa Sasa Marekani ameona kama Dunia itakuwa na amani power yake itapotea
Urusi, China, Kolea na Iran hizi nchi amani ikiendelea Duniani zitaikanyaga Marekani Kwa Sasa amegundua vikwanzo vya kiuchumi havimsaidii tena hivyo njia pekee ya yeye kuendelea kuwa super power ni kuzuka Kwa vita ya tatu ya Dunia
Nonsense.Hilo ndio lengo la Marekani alikuwa super power Baada ya vita vya pili vya Dunia
Kwa Sasa Marekani ameona kama Dunia itakuwa na amani power yake itapotea
Urusi, China, Kolea na Iran hizi nchi amani ikiendelea Duniani zitaikanyaga Marekani Kwa Sasa amegundua vikwanzo vya kiuchumi havimsaidii tena hivyo njia pekee ya yeye kuendelea kuwa super power ni kuzuka Kwa vita ya tatu ya Dunia
,Joka la kibisa?! Mtu amerusha ndege mbili aina ya B1 bomber kutoka Texas Air Force base kwenda maelfu ya Km mpaka middle East kwenda kushambulia more than 85 target in Syria, Iraq na Yemen.
Hakuna vita vya dunia kutokea. Iran atapasuka na hakuna kitu atafanyaKwa namna yoyote ile vita vibaya vya mashariki ya kati na vinavyoelekea kuwa vya dunia vinanukia sana.