Haya ndiyo majibu ya Iran na washirika wake baada ya kushambuliwa na Marekani

Hizi stori za Iran anatafutwa tumeanza kuzisikia tangu enzi za Ahmed nejad mpaka wa leo anatafutwa tu,, huyo Iran itakuwa hilo chaka alililojificha hata Israeli mtoa roho apajui..
Inashangaza sana, Taifa kubwa kama Iran linalofanya mambo hadharani yakufurahisha marafiki zake na yakuchukiza maadui zake kila siku lakini kuna wanaolitafuta hawalioni? Upofu wa aina gani huu!?
 
Kwa namna yoyote ile vita vibaya vya mashariki ya kati na vinavyoelekea kuwa vya dunia vinanukia sana.
Hakuna vita vya dunia kwasasa. Kama wanadundana,wacha wadundane. Ukisema vita vya dunia yaani na sisi tuingie kwaajili ya maslahi yao!?
 
Iran ndio chanzo pekee cha kuhatarisha amani katika mashariki ya kati kwani yeye ndiye mfadhili mkuu wa magenge ya kigaidi.
Na marekani ndio chanzo kikuu cha kuhatarisha amani katika mashariki ya kati kwani yeye ndio gaidi mkuu
 
Mkuu ukiona bomber kama hio inapigana na vikundi vya watoto WA kigaid jua uncle Sam hajatoa Silaha, tambua taifa lisilo na maonesho ya Silaha ndio hili, hata during WW2 the world was shocked na nuke Hakuna aliejua wanayo
 
Nyoka ni Marekani, anastahili auliwe kwa kupigwa kichwani.Sema bado hajatokea wa kumdhibiti.
Allah, ndyo mnavyojidanganya; basi huyo Irani wenu ajichanganye alianzishe. Maayatolah ndiyo itakuwa mwisho wao. Na kwa taarifa Yako, huyo Iran anaviziwa pia na mataifa ya kissuni ili amalizwe. Kwa hiyo wewe kama ni Mssuni, basi unapingana na wenzio
 
Hatuna ugomvi wa kisuni na kishia kihivyo kama mnavyopenda iwe.
Mashia na masuni wanaiona Marekani na Israel kuwa ndio maadui zao wakubwa.
 
Hivi karibuni Marekani raia wake watakuwa wakimbizi tena waraishi mitaa ya Tandika na Manzese kama wanavyowafanya raia wa nchi nyengine. History ya dunia ndio inasema hivyo
 
Israhell inatakiwa ifutwe kabisa kwa ajili ya amani na usalama wa dunia
Hilo halitowezekana Hitler alijaribu akafutika mwenye hata muungane waislamu wote na makafiri wote kuifuta Israel ni ndoto mtajikuta mnaweka picha za watoto mitandaoni kutafuta huruma kwamba Israel inaua watoto na wanawake
 
Kwamba unapangia watu nini chakupost au 😀
Hitler hakua na shida ya kuua wayahudi alikua anataka kuionesha dunia kama wazayuni wanatakiwa kufutwa ikiwa mnataka amani
Dunia yenye wazayuni ni bora dunia yenye mionzi ya nyuklia ama madhara mengine
Israhell kufutwa nisuala la muda tu yaaani
 
Na marekani ndio chanzo kikuu cha kuhatarisha amani katika mashariki ya kati kwani yeye ndio gaidi mkuu
Magaidi wanajulikana siku zote na wala hilo halina mjadala labda kama mtu anabisha kwa kiburi chake tu au kwa kuona wahusika wa ugaidi ni wa imani moja naye. That's all.
 
Magaidi wanajulikana siku zote na wala hilo halina mjadala labda kama mtu anabisha kwa kiburi chake tu au kwa kuona wahusika wa ugaidi ni wa imani moja naye. That's all.
Upo sahihi magaidi wanajulikana kweli anaebisha ni eidha mjinga au yupo imani moja na hao magaidi ndio maana anapinga
Nashkuru kwakuanza kuelewa elewa somo
 
Kwa namna yoyote ile vita vibaya vya mashariki ya kati na vinavyoelekea kuwa vya dunia vinanukia sana.
Hilo ndio lengo la Marekani alikuwa super power Baada ya vita vya pili vya Dunia

Kwa Sasa Marekani ameona kama Dunia itakuwa na amani power yake itapotea
Urusi, China, Kolea na Iran hizi nchi amani ikiendelea Duniani zitaikanyaga Marekani Kwa Sasa amegundua vikwanzo vya kiuchumi havimsaidii tena hivyo njia pekee ya yeye kuendelea kuwa super power ni kuzuka Kwa vita ya tatu ya Dunia
 
Mataifa ya kiislamu daima ndio uwanja wa kufanyia majaribio ya silaha mpya na misimamo ya kisiasa
 
Nonsense.
 
nadeal na wanyonge, wababe wenzie hatusikii akithubutu kuwagusa
Joka la kibisa?! Mtu amerusha ndege mbili aina ya B1 bomber kutoka Texas Air Force base kwenda maelfu ya Km mpaka middle East kwenda kushambulia more than 85 target in Syria, Iraq na Yemen.
,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…