jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,329 Reaction score 25,263 Feb 5, 2024 #41 Smart911 said: Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw Click to expand... Hivi ile avatar ambayo Mahondaw alikuja kuitoa ilikuwa ni picha yake?
Smart911 said: Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw Click to expand... Hivi ile avatar ambayo Mahondaw alikuja kuitoa ilikuwa ni picha yake?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 5, 2024 #42 jmushi1 said: Hivi ile avatar ambayo Mahondaw alikuja kuitoa ilikuwa ni picha yake? Click to expand... Ndiyo... Cc: Mahondaw
jmushi1 said: Hivi ile avatar ambayo Mahondaw alikuja kuitoa ilikuwa ni picha yake? Click to expand... Ndiyo... Cc: Mahondaw
jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,329 Reaction score 25,263 Feb 5, 2024 #43 Smart911 said: Ndiyo... Cc: Mahondaw Click to expand... Basi yuko vizuri mkuu😀dah! Sasa wewe ndo umemwambia aitoe?
Smart911 said: Ndiyo... Cc: Mahondaw Click to expand... Basi yuko vizuri mkuu😀dah! Sasa wewe ndo umemwambia aitoe?
white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,566 Reaction score 13,770 Feb 5, 2024 #44 Makorokoro Bondeni said: Nyoka ni Marekani, anastahili auliwe kwa kupigwa kichwani.Sema bado hajatokea wa kumdhibiti. Click to expand... Na hata kuja kutokea kwa karne nyingi sana!!
Makorokoro Bondeni said: Nyoka ni Marekani, anastahili auliwe kwa kupigwa kichwani.Sema bado hajatokea wa kumdhibiti. Click to expand... Na hata kuja kutokea kwa karne nyingi sana!!
Bwana Utam JF-Expert Member Joined Feb 15, 2016 Posts 19,559 Reaction score 36,514 Feb 5, 2024 #45 othuman dan fodio said: Hakuna vita vya dunia kutokea. Iran atapasuka na hakuna kitu atafanya Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app Click to expand... Atapasuka lini Mnatuchosha sasa
othuman dan fodio said: Hakuna vita vya dunia kutokea. Iran atapasuka na hakuna kitu atafanya Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app Click to expand... Atapasuka lini Mnatuchosha sasa
Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 9,968 Reaction score 16,680 Feb 5, 2024 #46 Young fadson said: nadeal na wanyonge, wababe wenzie hatusikii akithubutu kuwagusa , Click to expand... Kama wababe wapi?!
Young fadson said: nadeal na wanyonge, wababe wenzie hatusikii akithubutu kuwagusa , Click to expand... Kama wababe wapi?!
Zee la Mandandu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2022 Posts 1,064 Reaction score 2,603 Feb 5, 2024 #47 Alwaz said: Kwa namna yoyote ile vita vibaya vya mashariki ya kati na vinavyoelekea kuwa vya dunia vinanukia sana. Click to expand... Kwa sasa hakuna mwarabu yoyote chini ya jua mwenye ubavu wa kupigana na mzungu yoyote duniani. Nyie waarabu wa kisemvule ndio mnamkuza hiyo mchumba Muiran.
Alwaz said: Kwa namna yoyote ile vita vibaya vya mashariki ya kati na vinavyoelekea kuwa vya dunia vinanukia sana. Click to expand... Kwa sasa hakuna mwarabu yoyote chini ya jua mwenye ubavu wa kupigana na mzungu yoyote duniani. Nyie waarabu wa kisemvule ndio mnamkuza hiyo mchumba Muiran.
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,300 Reaction score 1,969 Feb 5, 2024 #48 white wizard said: Na hata kuja kutokea kwa karne nyingi sana!! Click to expand... Never say never