Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Nakweli bora tuyaache tu [emoji1]Hahahaaa. Sijui aliwaza nini kwa kweli.
Natamani nijue kilichokushtua ila tuache tu. [emoji12] [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakweli bora tuyaache tu [emoji1]Hahahaaa. Sijui aliwaza nini kwa kweli.
Natamani nijue kilichokushtua ila tuache tu. [emoji12] [emoji12]
Hahahaaa. Hunitakii mema rafiki.[emoji23][emoji23][emoji23] aisee..
Jiandae kupaliwa zaidi
Hahaaa. Ila nilishaingia kichwani kwako nikajua nini uliwaza. [emoji85] [emoji85] [emoji85].Nakweli bora tuyaache tu [emoji1]
upo wew mtu mbon hukutokea huna ahad kabis
Nipo dada,kwema lakini? nadhani labda hatukuelewana siku ile,kwani ilitakiwa nitokee wapi?😀😀upo wew mtu mbon hukutokea huna ahad kabis
jamn mdog wangu ulitak nin ili siku na nikakwambia nitasema a dad mkubwa wacha tukungoje mpk tukaonekana waongo aiseeNipo dada,kwema lakini? nadhani labda hatukuelewana siku ile,kwani ilitakiwa nitokee wapi?😀😀
Nakumbuka kila kitu ila bado hujajibu swali langu muhimu nililokuuliza hapo juu, mimi nipo tayari kuja huko hata kwa miguu.jamn mdog wangu ulitak nin ili siku na nikakwambia nitasema a dad mkubwa wacha tukungoje mpk tukaonekana waongo aisee
yna12 dada hiyo namba 12 ina represent nini? nauliza tu.BUJIBUJI..JINI KISIRANI
wew njoo tu mdog wangu ila codi hata bajaji mbali huku kwetu ujueNakumbuka kila kitu ila bado hujajibu swali langu muhimu nililokuuliza hapo juu, mimi nipo tayari kuja huko hata kwa miguu.
Hahaha! mimi ni mbeba box dada labda nikodi bajaji inayoruka angani.wew njoo tu mdog wangu ila codi hata bajaji mbali huku kwetu ujue
Njoo pm unielekeze njia ili wasije fika wengine kabla yangu..😀😀wew njoo tu mdog wangu ila codi hata bajaji mbali huku kwetu ujue
1. Ufyudhi (angalia avator yake ucheke mpaka uanguke)
2. Nichumu nibebike
3. Kibanga ampinga mkoloni
4. Mlinzi mfu
5. Pilipili kichaa
6. 900 inapendeza zaidi
7. Mgeni wa MUNGU
TUPIA MENGINE
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna ndugu yangu huyu Mndali ndanyelakakomu hili jina pasi kutumia Web siwezagi kulitag na hata kulisoma sijawahi limaliza naishia Mndali tu.
Nitakufundisha kulitamkaKuna ndugu yangu huyu Mndali ndanyelakakomu hili jina pasi kutumia Web siwezagi kulitag na hata kulisoma sijawahi limaliza naishia Mndali tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahah!!
Umenikumbusha mtu wangu wa nguvu huyo jinalake naliangaliaga tu sidhani ata kama nimewahi kulisoma...