Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
DuuuhHahahaaa. Mie pia namkubali sana aiseee. Hana maneno mengi kamwe.
Basi tuko sawa rafiki. Mie najuaga Mndali tu hilo lingine sinaga habari nalo kabisaaa. [emoji85].
Ila ukalisome bwana halafu uje kunifundisha namna ya kulitamka. [emoji12]